Wakuu ni kweli haya yametokea Pemba au mimi naota ? Imekuwaje yametokea ?

Akitajwa Maalim Seif unasikia raha akitajwa Hamad Rashid tumbo la kuha..ra linakushika ha ha ha ha ha.

Kavinunua vyombo vya habari vimkweze, wewe hujaskiliza Zenj Fm tangu jana ukifungua radio anatajwa yeye tu! Lakini la msingi ieleweke kama 'Ustadh' huyu anajimaliza kisiasa. Ukiona mtu anatumia hadi speed ya mwisho katika kulifanya jambo jua hana hatua atakayoifika tena, hata mgonjwa utakapomuona anatumia punzi nyingi jua kifo hakiko mbali.
 
Tatizo la Hamad Siasa zake ni za kifitina, ni vigumu kumhold na kumcontrol kwahiyo Chama chochote kikimpata itakuwa Vigumu kweli kumuambia mrengo wao wa yeye kuufuata, atabisha au atajiona zaidi ya wao hivyo itakuwa ni Mzigo...

Yeye ni kama Mrema hawezi kuwa Mwanachama wa Kawaida atataka kuwa zaidi the leader or something within the party

Kwahiyo ni Doa jeusi ndani ya chama chochote atakacho ingia Mwache aanzishe chama chake...

Uliyosema ni sawia kabisa.

Siku zote ukipanda upepo basi utegemee kuvuna dholba.

Pole sana Ba Hamad.

 
eeeeeeee mambo ya wapemba waachie wapemba na nchi yao ya kufikirika sisi tuzungumzie mambo yetu na rais yetu mpendwa jk
 
Back
Top Bottom