Wakuu ndo nini sasa???????????

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Jamani ndugu zangu mimi nilikuwa nawapa kampani kufunga lakini leo hat mmoja wa kusema First Born karibu hakuna?
AshaDii?????????
Dena Amsi??????????
Husninyo???????????
Ex pastor???????
rejao?????
Faiza Foxy???????????
................
.....................
.....................
acheni uchoyo
 
Jamani first born sijui nikufate hapo a town! Au washa bluetooth nikutumie mazaga zaga.
 
First born nasikia na wewe huwa huna utamaduni wa kukaribisha wenzako. Nadhani wanalipiza ili nawe ujifunze ukarimu
 
Back
Top Bottom