Wakuu nawauliza swali nawaombeni mawazo yenu

Inabidi uwasiliane kwanza na Ruge wa clouds fm..ka ukianzisha kampuni ya kuua mbu manake utatokomeza Malaria, so mradi wake wa Malaria No More utakuwa hauna dili tena
Mradi wake ni wa kuwaongeza mbu? Nalog off
 
Mradi wake ni wa kuwaongeza mbu? Nalog off
Ka akija na mradi huo wa kutokomeza mbu na akafanikiwa,.We unadhani mradi wa Malaria No More utakuwa na dili tena!? Atampigia nani tena kampeni za malaria na wasanii wake!?
 
Probably not. . .
Maana misaada ya pesa za kupambana na malaria zitagoma.Ila kama mradi wako uko funded vizuri. . .you could buy 'em off.
 
Back
Top Bottom