wakuu nawaombeni ushauri wenu kuhusu hapo bongo kuna vifaa vizuri vya umeme wa Jua ?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Nawatoleeni Salam wahusika wote na wakuu Wenzangu nataka kujuwa kuhusu huo Umeme wa Jua ( Solar Power) Je nikitaka kununuwa hapo kwetu haswa hapo Dares-Salaam ni Vifaa gani vilivyo bora vya kununuwa na kutumia huo Umeme wa Jua haswa kwa matumizi ya nyumbani ? Kwa Matumizi yote yanayohusu Nyumba kwa mfano mimi nina Friji,TV, Mashine ya kufulia nguo, Mashine ya kufagia Makapeti na Computer.Je nitahitaji ninunuwe vifaa gani vilivyokuwa imara na amabavyo vitaweza kunitosheleza kwa hayo matumizi yangu ya Umeme ? Na Kwa gharama zake itakuwa ni bei gani? nawaombeni majibu toka kwenu asanteni.
 
Da! Nina wasiwasi kwa vifaa vyote hivyo system itakuwa kubwa kiasi. Mie nashauri uwasiliane na wataalamu wa hizo system. Mie najua kampuni mbili hapa Dar, Ensol (www.ensol.co.tz) na Rex investment (www.rexsolarenergy.com). Jaribu kuwasiliana nao kwa contacts zao kwenye website zao, wanaweza kukushauri vizuri.
 
Back
Top Bottom