Wakuu nawaombeni Software ya kukopi DVD film za kibongo zinazotumia File name (VOB)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
Wakuu leo kwa mara ya kwanza nimekwama kukopi DVD film za hapo kwetu bongo (Tanzania) nimejaribu kukopi kwa kutumia Nero inakataa nawaombeni munisaidie kuna Softare ipi ya kuweza kukopi au ku convert File za (VOB) ili niweze kukopi kutoka kwa DVD inayotumia hiyo file ya VOB asanteni. Hata bongo nako kuna mambo ya (copy right) kasheshe kweli ahhh ndio maendeleo hayo .
 
Using YASA Video Converter to convert VOB to WMV
You are here: Tutorials > Using YASA Video Converter to convert VOB to WMV video.

2. Choose "WMV Windows Media Video(*.wmv)" as Output Profiles.
mpegtowmv_1.jpg

3. Click
wiz.bmp
to select VOB video file.
mpegtowmv_2.jpg

4. Enter the output video file.
vobtowmv_1.jpg

5. Select "Video" Page and set frame rate, frame size and Bitrate as you need. However we strongly recommend you to use default settings.
vobtowmv_2.jpg

6. Select "Audio" page, set Audio Bitrate as you need. However we strongly recommend you to use default settings.
vobtowmv_3.jpg

7. Click
conv.bmp
to start to convert VOB Video to WMV.
vobtowmv_4.jpg

source: VOB to WMV - Convert VOB to WMV using VOB to WMV Converter.
 
Halafu mnalalamika wasanii wa bongo movies wanafanya umalaya! Wasifanye umalaya vipi ikiwa kazi zao mnazichakachua na kufaidika nyie? Wewe ulieuliza na aliekujibu jueni Mungu yupo na siku ya malipo ipo mtaiba leo mtalipa siku ya hukumu.
 
Sokomoko acha kutisha watu, japo wizi unaweza umiza wasanii lakini hii haijustify wao kuwa malaya, umalaya ni tabia ya mtu, hata wasingeibiwa wangekuwa malaya tu, na wao na wewe unaejustify umalaya wao msubiri hukumu.
 
Wakuu leo kwa mara ya kwanza nimekwama kukopi DVD film za hapo kwetu bongo (Tanzania) nimejaribu kukopi kwa kutumia Nero inakataa nawaombeni munisaidie kuna Softare ipi ya kuweza kukopi au ku convert File za (VOB) ili niweze kukopi kutoka kwa DVD inayotumia hiyo file ya VOB asanteni. Hata bongo nako kuna mambo ya (copy right) kasheshe kweli ahhh ndio maendeleo hayo .

Filamu za kibongo huwa ngumu kukopi, ziko protected na hasa zile zinazosambazwa na steps. Unaweza kufanya ripping, ziko software nyingi za ku-rip dvd. Hata hivyo nakushauri ununue nakala yako halisi, bei yake nadhani ni tsh 5000/=
 
Back
Top Bottom