Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Mimi ninatumia Computer yangu ya mezani Desktop Computer nina share na wenzangu wawili nyumba tofauti yaani majirani zangu kwa ajili ya kulipa internet Connection na Speed yangu ya internet ni 8.00 MBPS ajabu kila inapofika wakati wa usiku mimi na wenzangu tunapotumia pamoja internet Connection yangu mimi ndie mtoaji Line niliyowapa wenzangu inakwenda Slow taratibu sana nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo? kwa sababu Speed yangu ya internet Connection kwa nyumba 3 ni kubwa lakini mie napata kidogo sana mnanishauri nifanye vipi ili niweze kulitatua hili tatizo? asanteni