Wakuu naona nipo nyuma kidogo, Hivi uchaguzi wa wale madiwani wa Arusha nao unafanyika April?

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Nimeachwa nyuma kidogo na update za madiwani wa CHADEMA waliofukuzwa Arusha. Je uchaguzi wao nao unafanyika April sambamba na wa mbuge wa Arumeru au bado kuna issue za kimahakama hazijakamilika?
 
Nimeachwa nyuma kidogo na update za madiwani wa CHADEMA waliofukuzwa Arusha. Je uchaguzi wao nao unafanyika April sambamba na wa mbuge wa Arumeru au bado kuna issue za kimahakama hazijakamilika?

Ndugu,

Baada ya mahakama kutamka kuwa si madiwani tena mara baada ya kusikiliza kesi yao, wale jamaa 5 walikata rufaa. Mpaka sasa rufaa yao haijasikilizwa na kutolewa maamuzi, hivyo basi kata zao zipo kipolo mpaka rufaa ikisikilizwa na kutupwa. Subiri kidogo mambo nako yatapendeza
:cool2:
 
Back
Top Bottom