Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

haya majina ya mpango na lile la king kikii...
cc Pasco....
Ukiisha sikia ni kutoka wilaya za mipakani, wewe elewa tuu kuwa atatusaidia sana, kwa sababu kiukweli wenyewe tumeshindwa!. Ile mipaka iliwekwa
na wazungu tuu lakini kule mipakani watu wote wa pande zote ni dugu moya!, hata alipokuja yule kijana wa kutoka nchumbiji, alitusaidia sana!, alipotoka si tukalongwa tukampa wa ku nyumba!, matokeo sote tunayajua!, tangu alipoingia huyu banyamulenge aliyelowea kule, si unashuhudia jinsi anavyochapa kazi, hivyo vha muhimu sio roots bali delivery!.
This guy is dam good!.
Pasco
 
mwenye cv za huyu mtu atuekee hadharani maana kwa mara ya kwanza wengi wetu tulimfahamu baada ya kukaimu ukamishina mkuu wa TRA na sasa naona profile yake inazidi kupanda tu baada ya kuteuliwa kuwa waziri tena wa wizara nyeti,,,Wizara ya fedha.

dr.Mpango ni nani na alikuwa akijihusisha na nn kabla ya profile yake kupanda ghaflaaaa????
 
Labda useme profile yake kwenye mtandao ndio imepanda
 
Alikuwa anapanga mipango,lakini ilikuwa mipango haitekelezeki kwa sababu mbalimbali.sasa amepelekwa aone pesa inapopatikana ili aone ni vipi pesa ilikuwa haitoshi kupanga mipango!!!

Sawasawa
 
Ukiisha sikia ni kutoka wilaya za mipakani, wewe elewa tuu kuwa atatusaidia sana, kwa sababu kiukweli wenyewe tumeshindwa!. Ile mipaka iliwekwa
na wazungu tuu lakini kule mipakani watu wote wa pande zote ni dugu moya!, hata alipokuja yule kijana wa kutoka nchumbiji, alitusaidia sana!, alipotoka si tukalongwa tukampa wa ku nyumba!, matokeo sote tunayajua!, tangu alipoingia huyu banyamulenge aliyelowea kule, si unashuhudia jinsi anavyochapa kazi, hivyo vha muhimu sio roots bali delivery!.
This guy is dam good!.
Pasco

Unamaanisha Prezdaa Padlock ni dugu moya na Paka?Ndio maana kumbe hana masihara linapokuja suala la utekelezaji wa vision yake,tofauti na yule Mkwele wetu.
 
Ukiisha sikia ni kutoka wilaya za mipakani, wewe elewa tuu kuwa atatusaidia sana, kwa sababu kiukweli wenyewe tumeshindwa!. Ile mipaka iliwekwa
na wazungu tuu lakini kule mipakani watu wote wa pande zote ni dugu moya!, hata alipokuja yule kijana wa kutoka nchumbiji, alitusaidia sana!, alipotoka si tukalongwa tukampa wa ku nyumba!, matokeo sote tunayajua!, tangu alipoingia huyu banyamulenge aliyelowea kule, si unashuhudia jinsi anavyochapa kazi, hivyo vha muhimu sio roots bali delivery!.
This guy is dam good!.
Pasco

Watu wa pwani na visiwani ni masalia ya watumwa. Na masalia haya ni ya watu dhaifu walioshindwa kuhimili mikiki mikiki ya utumwa kama kubeba meno ya tembo na kutembea umbali mrefu.
Masalia haya ndiyo yakazaliana tena kwa kuoana wao kwa wao wakaleta kizazi chenye udhaifu mkubwa wa kimwili, kiakili na kila aina ya udhaifu...hata wa nguvu za kiume. Watu wa pwani waliochanganya damu wameliepuka hili. Wao wako vizuri mfano wapemba wenye mchanganyiko na uarabu kidogo. Wana uwezo mkubwa wa kufikiri hawa...mfano Maalim Seif.
Ndiyo maana awamu ya pili ikawa hovyo na awamu ya nne ikawa hovyo
 
Vipi ana uhusiano na bishop Gerald Mpango askof mstaafu wa kanisa la anglikana Dayosisi ya magharibi kule kasulu????
 
Ukiisha sikia ni kutoka wilaya za mipakani, wewe elewa tuu kuwa atatusaidia sana, kwa sababu kiukweli wenyewe tumeshindwa!. Ile mipaka iliwekwa
na wazungu tuu lakini kule mipakani watu wote wa pande zote ni dugu moya!, hata alipokuja yule kijana wa kutoka nchumbiji, alitusaidia sana!, alipotoka si tukalongwa tukampa wa ku nyumba!, matokeo sote tunayajua!, tangu alipoingia huyu banyamulenge aliyelowea kule, si unashuhudia jinsi anavyochapa kazi, hivyo vha muhimu sio roots bali delivery!.
This guy is dam good!.
Pasco

Waziri wa fedha...
naibu wa nishati na madini ambae atakuwa waziri na future ya gas yetu mikononi mwake
Rais wa nchi.....
Pasco namuuliza Jackbauer ......kuna connection? kuna kitu kinakuja?
 
Last edited by a moderator:
Wachache nasema wachache, walivurugwa na utawala mbovu wa Kikwete, wanaweza kuwa watendaji wazuri katika utawala wa Magufuli

Mtu yeyote mwenye maadili hawezi kuvurugwa na mtu yeyote; wale waliofanya kazi na Kikwete na wakashindwa kuheshimu maadili ya kazi zao ni watu wa kuwaogopa kwani ni opportunists ambao hawana principles ambapo sasa wanafuata upepo wa Magufuli na kumlaani Kikwete!! We should be wary of such people!
 
Back
Top Bottom