Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Alikuwa mwalimu mzuri sana wa uchumi kuanzia late 1990s mpaka mid 2000s kabla ya kuchukuliwa na World Bank kama Senior Macro Economist wao.

Alikuwa anafundisha Microeconomics, Macroeconomics (kwa mwaka wa pili) na Public Finance kwa mwaka wa tatu, na kozi za MA.

Hili la Public Finance hasa linahusika na majukumu yake mapya.
 
Mpango, Mpango, mnajadili nn, umbeya tu, unatafutwa kwa lazima.
Mjaluo, Mmasai, Mmakonde, Mdigo, nk mbona hamuqajadili tujuwe ni Wakenya au Wamsumbiji!!!!!!!!!!!
 
Alinifundisha micro-economics pale udsm,yuko serious kwenye core issues,hana mzaha na wazembe kwa kifupi.
 
Sasa kama ndugu yake ni mkongo yeye atakuwa sio mkongo?
Kama mmoja wa Congo mwingine wa kigoma basi ni ndugu hao,

Kuna haja sasa wa kuhoji uraia wa mmoja wao kati yao
Very poor logic.

Kwa hiyo watu wote wa Kigoma wana uhusiano na Congo?

By the way Kigoma kuna Wamanyema na Wabembe, hawa wana asili ya Congo. Dr. Mpango ni Muha kabila ambalo halina asili ya Congo.
 
Very poor logic.

Kwa hiyo watu wote wa Kigoma wana uhusiano na Congo?

By the way Kigoma kuna Wamanyema na Wabembe, hawa wana asili ya Congo. Dr. Mpango ni Muha kabila ambalo halina asili ya Congo.

Swali liliuliza ni ndugu yake na Kikumbi Mpango wa Congo?
sasa sio logic kuwa kama ni ndugu yake anatoka Congo na yeye anaweza kuwa anatoka Congo?
kumbuka hakuna anaesema sio Mtanzania...anaweza kuwa Mtanzania lakini kiasili anatoka Congo...
 
Dr Philip Mpango ni mdogo wake Retired Anglican Bishop Dr Gerard Mpango (Diocese of Western Tanganyika,Kasulu Kigoma). Ni mchapakazi,Mwadilifu. Nimemjua kuanzia kwa Bintiye,my Classmate,na baadae (hadi siku za karibu amekuwa Boss wangu),a very Credible Man, non-Incongruous guy. Binafsi nadhani anamfaa Magufuli kwa idara yoyote ya uchumi Serikalini. Infact, yeye na Dr Bukuku ni Vichwa ambavyo Dr Magufuli anavihitaji.
 
Very poor logic.

Kwa hiyo watu wote wa Kigoma wana uhusiano na Congo?

By the way Kigoma kuna Wamanyema na Wabembe, hawa wana asili ya Congo. Dr. Mpango ni Muha kabila ambalo halina asili ya Congo.
Nasikia hata kichefuchefu kukujibu kwa matapishi uliyomwaga humu
 
Kikumbi Mpango sidhani kama wanaundugu lakini huyu jamaa ni mwenyeji wa kijiji cha kasumo wilayani kasulu mkoa wa kigoma na alisomeshwa na wamisionari enzi hizo na ni dep moja nadhani na akina prof yanda ambae anazaliwa kijiji cha kajana, na kuhusu askofu Mpango wanaundgu wa ukoo na zaidi huyu bwana ana mtoto anaitwa Elisia ni daktari na hupendelea kunywa Whiskey sana mida ya jioni na ameolea Arusha pia.

Mkuu Dr Elisia ni huyu nayemfahamu aliyepo hospitali moja ya umma hapa Dar?
 
Watu wengine bwana!? Najua wewe GAGNIJA unataka kusema nini. Eti anaweza kuwa MZAIRE. Jamani tuache mambo haya.
Hisia zako tu! Mimi nimeuliza kama wanaweza kuwa ndugu kwa kuwa majina yao ya ubini yanafanana, wala sikutoa conclusive statement kwamba hawa jamaa ni ndugu. Ulitakiwa kunielewesha, kama alivyofanya logician mkuu, kwamba mmoja anatoka Kasulu mwingine DRC.
 
Last edited by a moderator:
Swali liliuliza ni ndugu yake na Kikumbi Mpango wa Congo?
sasa sio logic kuwa kama ni ndugu yake anatoka Congo na yeye anaweza kuwa anatoka Congo?
kumbuka hakuna anaesema sio Mtanzania...anaweza kuwa Mtanzania lakini kiasili anatoka Congo...
Si ndugu yake na Kikumbi Mpango. Hili nina uhakika kabisa.

Baba mzazi wa Dr. Mpango ni Marehemu Mzee Isidori Nzabhayanga Mpango, ambaye alizaliwa kijiji cha Kasumo wilaya ya Kasulu na ni Muha. Dr. Mpango alizaliwa hapo hapo Kasumo, na mpaka sasa wana nyumba ya ukoo wao hapo Kasumo.

Kumbuka waha hawana asili ya Congo.

Kwa hiyo Dr. Mpango hana uhusiano wowote na huyo Kikundi Mpango.
 
Hili ndio jibu sahihi i guess.....kuliko mwanzo ulivyo tu dismiss tu kwa 'poor logic'
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom