wakuu msaada wenu muhimu hapa

Dah, lakini kwa maisha anayoishi ya kurandaranda huyo dada, na kama kweli haishi na mtoto yeye personaly, unaweza ukaenda kortini kama hataki kukupa mwanao. anyway huyo mtoto anateseka kiivyo.
 
Inasikitisha sana ..Nadhani mahakamani watakusaidia au usitawi wa Jamii
 
hivi nasikia ustawi wa jamii wanashughulikia haya mambo,ofisi zao ziko wapi?maana sitaki kupoteza nae muda nikifika tu nifikie huko moja kwa moja.
 
mmh wa kunyumba afu shem hajaweka hata aya sasa....
nimejitahidi sana leo mpaka mwisho......

Unaweza kukosa ushauri wa maana kwa kuandika bila kuweka aya, na panctuation marks. Mtu anaweza kuona uvivu na kuachana na thread yenyewe~! Mwalimu tafadhali wito wako uelekeze kwa huyu wa kuyumba kwa hilo!
 
hivi nasikia ustawi wa jamii wanashughulikia haya mambo,ofisi zao ziko wapi?maana sitaki kupoteza nae muda nikifika tu nifikie huko moja kwa moja.

Mwanamke ambaye ameshathubutu kukuweka rumande mara kadhaa na kuchana vyeti vyako ni wa kuogopa sana! Angalia usije Bongo akaona una mafanikio akakubambikizia kesi ya unga! Uwe mwangalifu sana aisee! Usikurupuke kufuata mtoto! Unaweza kuharibu kila kitu!
 
aah wewe sijatoka shamba mimi.mwenyewe ananijua nikiamua kumfanyiziaga,bongo ntaenda na mtoto ntabeba.
 
BK kweli uliyavumilia yote hayo? mbona ni makubwa sana kwa wababa kuyavumilia? ulikuwa unatafuta nini kwake?
hujatuambia yule aliyekusahaulisha aliishia wapi? au ndo huyo mnabeba wote box huko ughaibuni?
 
Pole BK ningekushauri ukawashirikisha wazee wa pande zote mbili, kwako na kwahuyo kiruka njia ikibidi hata viongozi wa dini pia uwashirikishe na natumaina utapata mwanao na atakuwa ktk maadili mazuri ufanye haraka maana hiki kizazi chetu cha mtandao kisiharibike wana uelewa mkubwa sana wa mambo na pia umweleze ukweli mwanao why hukai na ***** na why unataka kumchukua ukae nae ingawa sheria ya nchi pia inaruhusu mtotot akifika miaka 7 anaruhusiwa kukaa na babae
 
Jaribu kutafuta watu wazima wa familia yake uwasomeshe somo ili waweze kumuelewesha nia yako naona hapa yeye anafanya kama kukukomoa...ndio ukubwa huo...ukisikia kua uyaone ndio mambo kama hayo sio magorofa.
 
ndugu yangu ni mengi zaidi ya hayo,nimesimulia kiufupi tu,ukijua story nzima utalia machozi,aliyenisahaulisha nae tuliachana baadaye,unajua tena hawa viumbe.
 
mkuu kuhusu swala la wazee kwake yeye sijui kwani ashawahi kumtukana mama yangu kwenye simu,na mamaake pia huwa hamsikilizi kabsaa,babayake ni wale wachaga watoto wa mjini haswaaa kiasi kumshauri mwanae sidhani,hapa ni kufuata sheria tu.
 
ndugu yangu ni mengi zaidi ya hayo,nimesimulia kiufupi tu,ukijua story nzima utalia machozi,aliyenisahaulisha nae tuliachana baadaye,unajua tena hawa viumbe.

Pole sana. jitahidi mwanao apate malezi ya kueleweka. ongea na mamaye vizuri, na huyo shemeji yako ambaye anamtunza mtoto. nina uhakika kabisa kama huyo shemejiyo hapati msaada wa malezi toka kwa dadake atakusaidia umpate mwanao, maana siku hizi kulea watoto ni expensive sana
 
shemeji yangu yuko poa sana,hana matatizo kwani kipindi niko na dadaye aliwahi ishi kwetu na alikua ananitetea sana wakati wa matatizo na dadaye,mpaka dadaake akaanza kusema natembea nae,tatizo naye hawezi fanya,sema chochote kwa huyo dada yake.
 
Jaribu kutafuta watu wazima wa familia yake uwasomeshe somo ili waweze kumuelewesha nia yako naona hapa yeye anafanya kama kukukomoa...ndio ukubwa huo...ukisikia kua uyaone ndio mambo kama hayo sio magorofa.
asante mkuu,karibu jukwaani lakini,na kukua mi nishakua sana tu,ndio maana naitwa babu kijana.
 
ok shem utanisindikiza

Tutaenda wote wala usijali, very serious on this

aah wewe sijatoka shamba mimi.mwenyewe ananijua nikiamua kumfanyiziaga,bongo ntaenda na mtoto ntabeba.

wala usijifanye mjuaji ukaharibu mambo,jifanye mjinga tu kwani itakugharimu nini shem,
mpeleke taratibu akileta kujua, tutmbania mahali pake.....
kutokana na ukorofi wake ni vema tu kuwa makini.....
 
Tutaenda wote wala usijali, very serious on this

wala usijifanye mjuaji ukaharibu mambo,jifanye mjinga tu kwani itakugharimu nini shem,
mpeleke taratibu akileta kujua, tutmbania mahali pake.....
kutokana na ukorofi wake ni vema tu kuwa makini.....
poa shem nakuaminia,isije ikawa niwewe unantega tu hapa.:D
 
hahaa hivi na mie nina ukorofi unaofanana na mmarangu wako tena?
hebu niamini shem bana, mi nipo tayari kukusaidia tu wala usinidhanie vibaya....
after all mi si mmarangu...
 
si unajua tunaweza panga sikuhiyo twende mara siku tunakutana unashangaa mtu anasema haya sema ulichokua unaandika kule kwenye jukwaa lenu.
 
Back
Top Bottom