wakuu msaada wenu muhimu hapa

hehehhee.Nakuaminia cheapesoni wangu...........
Sasa tuendelee na mchakato wa kumpeleka mtoto kubeba boksi....
Na BK kadhibitisha huyu mtoto ni damu yetu.

hahaaa kasema eti yeye hawezi kupakaziwa inaelekea mtoto katoka kopi raiti.....

mi nadahani wazungumze tena amicabily na mzazi mwenzie, kama bado ataleta ubishi BAK shemeji umpeleke mzazi mwenzio kwa pilato, mthibitishie mama hawezi kumtunza mtoto vizuri, ananlelewa na mtu mwingine, wewe binafsi una nafasi/uwezo w kumpa mtoto malezi stahiki kama mzazi......
 
Tabia ya wanawake wakichaga kupenda peleka watoto kwa bibi zao na wao kuponda maraha mjini inanikera sana, utasikia mtoto wangu huyu, anampeleka kwa bibi yake hata km mtoto atakaa tu huko hasomi ili mradi awatenganishe wewe na mtoto wako
 
Tutashirikiana tu kuhakikisha haki inatendeka.lakini wewe si ndio stering,mie natoa tu mafungu ya safari.
Na huyu mtoto DNA ni ya muhimu ingawa wanasema kitanda hakizai haramu.........

ok,ni ushauri mzuri ingawa sina wasiwasi kuhusu mtoto mamy.
 
Mkuu pole sana, huyo m/mke ulozaa nae hafai. Ni nyoka mbaya sana! Piga yeye chini. Kuhusu mtoto hapo ukiwa kama baba mzazi we msaidie tu. Tuma pesa kama kawaida. Mtoto akikua ataujua ukweli na itakuwa ni juu yake kuchagua! Kwasasa mpe malezi yote ukiwa kama baba yake.

**********

Ushauri
: mkuu uwe unaweka paragraph ili iwe ni rahisi kusomeka! Pia tumia font size kubwa 'size 3 is ok'
 
hahaaa kasema eti yeye hawezi kupakaziwa inaelekea mtoto katoka kopi raiti.....

mi nadahani wazungumze tena amicabily na mzazi mwenzie, kama bado ataleta ubishi BAK shemeji umpeleke mzazi mwenzio kwa pilato, mthibitishie mama hawezi kumtunza mtoto vizuri, ananlelewa na mtu mwingine, wewe binafsi una nafasi/uwezo w kumpa mtoto malezi stahiki kama mzazi......
shem hapo nina uhakika maana kama unavyoniona mimi ndio nayeye hivyohivyo anavyoonekana,kuongea na mamaake huwa mara nyingi hatufikii muafaka ni mbishi na ana visasi,na hapa nimempigia ananiambia anaondoka tena wiki hii kwenda huko china na swala la mtoto kumchukua nisahau.
 
[/COLOR][/B]
ok,ni ushauri mzuri ingawa sina wasiwasi kuhusu mtoto mamy.
Ok,hakuna shida.mtoto ni mtoto tu as long wewe ndo unajulikana ni baba.
Ila nadhani suhapata mwanga pa kuanzia.Mie naongezea kuwa kama kurudi meza moja kuongea na mzazi mwenzio itakuwa shida basi wasirikishe wazazi wenu katika huo mjadala.Mazungumzo yakigoma wahi Custody Mahakani.Kwa kesi yako inaonekana ishu nyepesi.
 
Mkuu pole sana, huyo m/mke ulozaa nae hafai. Ni nyoka mbaya sana! Piga yeye chini. Kuhusu mtoto hapo ukiwa kama baba mzazi we msaidie tu. Tuma pesa kama kawaida. Mtoto akikua ataujua ukweli na itakuwa ni juu yake kuchagua! Kwasasa mpe malezi yote ukiwa kama baba yake.

**********

Ushauri
: mkuu uwe unaweka paragraph ili iwe ni rahisi kusomeka! Pia tumia font size kubwa 'size 3 is ok'
ndugu yangu kuhusu kutuma pesa natuma za kiasi cha mahitaji tu,na saa nyingine hazifiki hilo nalijua,ukituma huyo mwanamke anafanyia mambo yake mengine,kuhusu nyoka mkuu mwanamke ni shetani kabisa aliyonifanyia mengine nikisimulia hapa ni hadithi nzito yenye machungu mengi sana,angekua mtu mwingine sidhani kama hata angeongea nae tena maisha.
 
Ok,hakuna shida.mtoto ni mtoto tu as long wewe ndo unajulikana ni baba.
Ila nadhani suhapata mwanga pa kuanzia.Mie naongezea kuwa kama kurudi meza moja kuongea na mzazi mwenzio itakuwa shida basi wasirikishe wazazi wenu katika huo mjadala.Mazungumzo yakigoma wahi Custody Mahakani.Kwa kesi yako inaonekana ishu nyepesi.

sio hela tu hata hapa umo......duh!!!
kiukweli mi sioni complications hapa, huyo mwanamke jeuri dawa yake kwa pilato tu....unamaliza unasepa na kijana wako .....
ole wako mama w akambo awe ndivyo sivyo na wewe shem..BK
 
naweza fanya hivyo ila hapo nijiandae kwa lolote maana anaweza kuzua jambo lolote la ajabu .ajabu
 
hapo usitie shaka mama yake wa kambo mtu poa sanaa hana noma kabisa.
 
Tatizo hapa mama yake mzazi wa mtoto ni kirukaruka.na huyo mtoto anahitaji kujengewa future nzuri mapema.mie naona ni bora afanye la kufanya amchukue mtoto amtunze.

oooh kwa kiruka njia kambebe mwanao mapema iwezekanavyo kabla hajabadirika kitabia
lakini mambo ya simu sio vema utakapokuja muombe kukutana nadhani mambo yatakuwa ok
 
naweza fanya hivyo ila hapo nijiandae kwa lolote maana anaweza kuzua jambo lolote la ajabu .ajabu
Usiende peke yako au msiwe ninyi peke yenu wawili.Tafuta rafiki.ndugu kama wawili unaowaaminia na wazee wa busara uwe nao wakati wa mazungumzo.
Na usiniambie mpka sasa unatumia email na simu kumkonvis mzazi mwenzio?Nadhani kama upo siriaz,rudi nyumbani kwa mkakati rasmi wa kumchukua mwanao.
 
ukienda kukutana nae, hakikisha mnakutana sehemu ambayo hawezi kukusingizia chcochote kibaya maana anaonekana mtunzi mzuri wa kwsi huyo

hapo usitie shaka mama yake wa kambo mtu poa sanaa hana noma kabisa.
[/COLOR][/FONT]

hapo sawa
 
ukienda kukutana nae, hakikisha mnakutana sehemu ambayo hawezi kukusingizia chcochote kibaya maana anaonekana mtunzi mzuri wa kwsi huyo

hapo sawa

Basi huyo mwanamke ni hatari sana mpaka anaogopeka kiasi hiki
Pole Babukija ulikuwa umepotea katika mikono ya simba na sasa umesalimika eeh!
 
Usiende peke yako au msiwe ninyi peke yenu wawili.Tafuta rafiki.ndugu kama wawili unaowaaminia na wazee wa busara uwe nao wakati wa mazungumzo.
Na usiniambie mpka sasa unatumia email na simu kumkonvis mzazi mwenzio?Nadhani kama upo siriaz,rudi nyumbani kwa mkakati rasmi wa kumchukua mwanao.

nadhani itabidi nitumie hii njia,maana nikiwa mimi tu anaweza fanya lolote.
nawasiliana nae kwa simu tu na ni mpaka nikiwa nina kitu cha maana cha mtoto ndo nampigia.
 
Tabia ya wanawake wakichaga kupenda peleka watoto kwa bibi zao na wao kuponda maraha mjini inanikera sana, utasikia mtoto wangu huyu, anampeleka kwa bibi yake hata km mtoto atakaa tu huko hasomi ili mradi awatenganishe wewe na mtoto wako
Dah nilijua tu haitaisha hii tread bila mtu kuhusisha kisa hiki na kabila!! too low!
 
Nimeachwa sana hapa kwani nilikuwa kule nasoma mambo ya ajali na yamenipooza mwili wangu kabisa. You know am inside the ICU and am ICU nafikiri mnajua adha ya ajali. Mkipata nafasi waombeeni majeruhi wapone mapema jamani. See you later, bado niko huko
 
Back
Top Bottom