afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,207
Mmesomeka. hapo pa ndevu sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
unazo??
Mmesomeka. hapo pa ndevu sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Una ndevu ?
Kwani zinaongea kwamba tupo huku. Pesa haiongei Afrdensi. Vitu vyako tu vinasema
kama zangu??
Hahahahahaha zipi hizo Gozo..
mi ni kijana wa kiume sijaooa. Ila kuna dada namzimia naomba mbinu za kumtokea. ni sista duu ile mbaya