Wakuu, msaada wa namna ya kuondoa kirusi

Muadilifu

Senior Member
Sep 26, 2007
149
22
Nimejikuta nimevamiwa na kirusi kinachojiita RECYCLER ambacho huambatana na folder jingine linanoji-create kwa jina la "System Volume Information" Naombeni njia rahisi ya kuiondoa hii kitu.
 
Pengine sio virusi maana drive yoyote ukikonect na windows hayo mafile yanakuwa created kwenye root, ili unapofuta files huwa yanakwenda hapo ndio maana ukifungua recyle bin unaona deleted files indeed yanakwepo kwenye hiyo location/recyler.
 
wewe nadhan ume disable hide system files, sasa kila folder unayo fungua unakuta hayo mafile ndiyo maana wadhan kirusi. Nadhani siyo kirusi kwakuwa hayo mafile yanakuwepo lakini yamefichwa mpaka udisable hapo ndo yanaanza onekana kila sehem
 
Dah i got the same problem with that virus..aisee aliyeimtengeneza ni hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom