Wakuu msaada wa C programming please

ndugu,
nafikiri unahitaji ku brush kidogo C. Kifupi tu ni kuwa unapopitisha argument kama array ktk C/C++ compiler inapitisha pointer to the first element. Kwa hiyo ni kama unapitisha array of int. Pass the variables by reference if you want to modify them directly. You have just opened the can of worms!
Code:
void addConst(int& x, int& y){
//modify the x and y and they will be modified out of the function also
y=y+2;
x=x+5;
}
you need to re write again. Just a note, simple program like this needs no comment. Next time just put in a code and whenever someone does not understand a line will ask

Thanx mkuu wala hamna tatizo kabisa naona next time nitafanya hivyo na nashukuru sana kwa mawazo yako yenye upeo zaidi!!
 
just ignore the quoted post. That will work with C++ but not C. OP is right on his way of using pointers. Here is a working code

Code:
#include <stdio.h>

void addConst(int* , int*); 

int main(){
    int x = 2, y = 4; 
    printf("Before function call x = %d y = %d\n\n", x , y);
    printf("The function adds 3 to x and 6 to y indirectly by using the ");
    printf("addresses of the variables.\n");
    addConst(&x, &y); 
    printf("After function executed x = %d y = %d\n",x,y);
    return 0;
}

void addConst(int* x, int* y){
    *x = *x + 3;
    *y = *y + 6;
}

Kila kitu kipo sawa sasa baada ya kufata mfano hapo juu na inafanya kazi na inanipa result ambayo inatakiwa, thanks again mkuu!
 
Nadhani mkuu atakuwa kapata suluisho kutoka kwa vichwa vya programming. Hii thead imeongeza afya ya ubongo wangu

Mkuu pia samahani sana kwa kuchelewa kuja kutoa majibu maana miangaiko ya hapa na pale sasa hivi ndio nimepata chance...thanks again problem ipo solved sasa hivi nashukuruni sana kwa msaada mliionyesha....

Pia kwa haraka haraka kama hauna unix ya ku compiler hiyo program unaweza kutumia hii kitu inaitwa QUINCY IDE ni ya free na unaweza kuipata hapa

Quincy: Simple free C/C++ programming IDE for Windows

iweke tu kwenye computer laptop na kazi itaanza kama itakusumbua jinsi ya kuanza kuitumia nipe shout then tutasaidia mpaka kila kitu kiwe fresh

Thanks again
 
papizo, feedback muhimu ili kujua post zetu zimekusaidiaje/zimekuangushaje!

Mkuu samahani sana kwa kuchelewa kurudi na kusema nini kimeendelea maana kutokana na mihangaiko ya hapa na pale,ila good news ni kwamba kila kitu sasa hivi kipo makini kabisa na ile program inafanya kazi sasa bila tatizo lolote lile...kila kitu kipo makini kabisa.............

Nashukuru sana kwa msaada wako mkuu!!
 
Mkuu pia samahani sana kwa kuchelewa kuja kutoa majibu maana miangaiko ya hapa na pale sasa hivi ndio nimepata chance...thanks again problem ipo solved sasa hivi nashukuruni sana kwa msaada mliionyesha....

Pia kwa haraka haraka kama hauna unix ya ku compiler hiyo program unaweza kutumia hii kitu inaitwa QUINCY IDE ni ya free na unaweza kuipata hapa

Quincy: Simple free C/C++ programming IDE for Windows

iweke tu kwenye computer laptop na kazi itaanza kama itakusumbua jinsi ya kuanza kuitumia nipe shout then tutasaidia mpaka kila kitu kiwe fresh

Thanks again

Powa nimeshafanikiwa kuinstall Turbo C++. Na nilikuwa natest , ku copile na ku run prgram zote walizotoa wataalam nimeelimika sana
 
Powa nimeshafanikiwa kuinstall Turbo C++. Na nilikuwa natest , ku copile na ku run prgram zote walizotoa wataalam nimeelimika sana

Hamna shaka mkuu kama kila kitu kipo powa kabisa....ok wacha na mimi niinstall hiyo Turbo C++ maana sijawahi kuitumia hiyo..........
 
Kwa yeyote atakaye hitaji hivi vitabu (e-book) soft copy anifahamishe nimpatie. (C, C#, C++ na nduguzao kina Java).
 
best IDEs are CodeLite and Code::8locks for X platform and both supports gcc as well as vc++ compilers although vc debugger is not supported, only gdb. There is also MS VC++ express ed and wxDevCpp (both are windows only).

Throw quincy ide away, it was designed only for students and i hope you are not there to be a student forever!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom