Wakuu msaada: Natafuta kazi

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Mimi ni kijana, ninatafuta kazi yoyote iliyo halali. Nipo Dar es Salaam, elimu yangu nimemaliza form four na ni mwaminifu.
 
TATIZO LA NINYI VIJANA MKIFIKA FORM 4 TU, TAABU KWELI KWELI ukipewa kazi ya kusambaza MAZIWA ulipwe 150,000/= marupu rupu yapo ukivuka kiwango ulichopangiwa kuuza kila siku, HAMTAKI KAZI KAMA HIZI MNAJIDAI WASOMI, MNATAKA KAZI ZA DUKANI, NA OFISINI ukihitaji ya usambazaji maziwa ni pm
 
mkuu mimi nipo moro,nahitaji hiyo kazi
 
TATIZO LA NINYI VIJANA MKIFIKA FORM 4 TU, TAABU KWELI KWELI ukipewa kazi ya kusambaza MAZIWA ulipwe 150,000/= marupu rupu yapo ukivuka kiwango ulichopangiwa kuuza kila siku, HAMTAKI KAZI KAMA HIZI MNAJIDAI WASOMI, MNATAKA KAZI ZA DUKANI, NA OFISINI ukihitaji ya usambazaji maziwa ni pm
watakuwa hawana shida ya kazi
 
TATIZO LA NINYI VIJANA MKIFIKA FORM 4 TU, TAABU KWELI KWELI ukipewa kazi ya kusambaza MAZIWA ulipwe 150,000/= marupu rupu yapo ukivuka kiwango ulichopangiwa kuuza kila siku, HAMTAKI KAZI KAMA HIZI MNAJIDAI WASOMI, MNATAKA KAZI ZA DUKANI, NA OFISINI ukihitaji ya usambazaji maziwa ni pm

mimi hapa mkuu nahitaji hiyo kazi namba yangu 0714269713
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom