M Magezi JF-Expert Member Oct 26, 2008 3,359 692 May 3, 2010 #1 Naomba kwa yeyote aliyetumia gari aina ya Nissan Terano anishauri kama ni nzuri ama la. Asante
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 May 3, 2010 #3 Tatizo spea zake ghali sana mkuu. ukiacha swala la gharama za spea, ni nzuri tu.
M Magezi JF-Expert Member Oct 26, 2008 3,359 692 May 3, 2010 Thread starter #4 Ndibalema said: Tatizo spea zake ghali sana mkuu. ukiacha swala la gharama za spea, ni nzuri tu. Click to expand... Asante kwa angalizo japo nalipenda muonekano wake sijui nikimbilie wapi
Ndibalema said: Tatizo spea zake ghali sana mkuu. ukiacha swala la gharama za spea, ni nzuri tu. Click to expand... Asante kwa angalizo japo nalipenda muonekano wake sijui nikimbilie wapi