Wakuu msaada kupata 3.5G spidi ya intaneti kwenye simu.

Bepari

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
904
329
Natumia line ya airtel na simu ni nokia X6. Ila nina tatizo na spidi ya kinyonga nikiwa nabrowse au kudownload kwenye net. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na hili anisaidie tafadhali...
 
Kwani upo wapi wewe, coz 3.5G or WCDMA inapatikana Dar tu tena baadhi ya maeneo.mi mwenzio nipo na NOKIA C7 na mwendo wa kizee!! :)
 
unatumia browser gani?

mimi nina 5230 na juzi nimeapgredi kwenda kwenye Opera mini 6, spidi yake safi tu na huku nilipo hata 3.5G sijui ni kitu gani. Napata EDGE tu (ikijitahiidi inafika 234.8kpbs)
 
unatumia browser gani?

mimi nina 5230 na juzi nimeapgredi kwenda kwenye Opera mini 6, spidi balaa na huku nilipo hata 3.5G sijui ni kitu gani. Napata EDGE tu (ikijitahiidi inafika 234.8kpbs)

Airtel coverage yake ya 3G ni kubwa, karibu major town zote zina access to 3G, nilikuwa Kahama miezi miwili iliyopita na nikawa nasurf kwa spidi kama niko Dar. Kikubwa ni settings tu, unatakiwa u-specify network type kwenye settings za simu yako.

Majority ya Nokia phones setting za type ya network ziko hivi:

Menu -> Tools -> Settings -> Phone -> Network, ukifika hapa mara nyingi simu nyingi zinakuwa zimesetiwa toka kiwandani zitumie "DUAL MODE", sasa wewe ukitaka 3G peke yake chagua "UMTS".

Hapo utaipata tu.

NB: Browser type huwa haina impact kubwa sana na spidi ya net, although browsers kama opera mini zinakuwa fasta kwenye simu kwa sababu content inayokuja kwenye simu yako tayari inakuwa compressed kwenye servers kabla ya kukufikia.
 
Dipo Dar Kigamboni. Kuhusu settings wakuu ive been trying for quite sometimes lakini when i set to UMTS kama walivyoelekeza kwenye kitabu na anavyoshauri tototundu ila simu inakata network kabisa na kwa hiyo natumia ikiwa kwenye GSM ambayo inapendekezwa angalau kesevu power. Bado sijapata ufumbuzi, thanks for your kind attention though...
 
Inawezekana line ya simu yako haijawa configured ktk 3G, chakufanya wapigie simu customer care wataiconfigure wala haina shaka. Mimi nilishawahi kukutana na tatizo kama hilo na walilisolve wenyewe na sasa nakula 3.5G kama kawa.
 
Dipo Dar Kigamboni. Kuhusu settings wakuu ive been trying for quite sometimes lakini when i set to UMTS kama walivyoelekeza kwenye kitabu na anavyoshauri tototundu ila simu inakata network kabisa na kwa hiyo natumia ikiwa kwenye GSM ambayo inapendekezwa angalau kesevu power. Bado sijapata ufumbuzi, thanks for your kind attention though...

Mimi pia nilikuaga na tatizo hilo hilo.wapigie customer care to configure line yako na 3G.
 
Kwani upo wapi wewe, coz 3.5G or WCDMA inapatikana Dar tu tena baadhi ya maeneo.mi mwenzio nipo na NOKIA C7 na mwendo wa kizee!! :)

Arusha WCDMA, EDGE, HSDPA kama simu za mchina zilivyoenea Mann'..sio Dar tu!!
 
Natumia line ya airtel na simu ni nokia X6. Ila nina tatizo na spidi ya kinyonga nikiwa nabrowse au kudownload kwenye net. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na hili anisaidie tafadhali...

tafuta browser yeyote kama operamini ili uinjoy mazee itakusaidia coz iko fasta na ni cheap.
 
badili line kama unatumia line ya airtel za sasa hivi speed ni ndoogo mno ukilinganisha na zile za zamani zenye chata ya zain coz mi natumia iphone 3GS nilikuwa nina tatizo kam la kwako lakini sasa hivi ina speed ya ajabu na funga opera mini bowser latest version.
 
I knew exactly where to take this prob, thats why i came here and see, now its fixed!!
You guys are really great thinkers, thanks...
 
Vp upgrading ktk browser za modem ya zain, naweza nika configure vp ili ipate speed hata ktk youtube?
 
Jamani hapa inakuaje??

Natumia NOKIA E63, Nikiwa Dar napata 3G vizuri tu ila kwa sasa niko home town Tanga na nimejaribu kuweka UMTS katika network settings lakini inakata network kabisa which means Tanga hakuna coverage ya 3G kwa airtel au tatizo ni nini?
 
Mi naona watu wanaongea 3G, 3GS,4g bila kuelewa hasa maana yake ni nini kwa lugha nyepesi

Ebu mwenye utaalam aaandike ili data service ikidhi viwango vya kuitwa 3G , 4G inabidi

  • downlaod / uppload inatakiwa iwe kwenye range ya Kb/s . ngapi?
Mi naona watu watu wanauziwa na kununua misamiati tu wakati data service zenyewe ni 2G.
 
Airtel coverage yake ya 3G ni kubwa, karibu major town zote zina access to 3G, nilikuwa Kahama miezi miwili iliyopita na nikawa nasurf kwa spidi kama niko Dar. Kikubwa ni settings tu, unatakiwa u-specify network type kwenye settings za simu yako.

Majority ya Nokia phones setting za type ya network ziko hivi:

Menu -> Tools -> Settings -> Phone -> Network, ukifika hapa mara nyingi simu nyingi zinakuwa zimesetiwa toka kiwandani zitumie "DUAL MODE", sasa wewe ukitaka 3G peke yake chagua "UMTS".

Hapo utaipata tu.

NB: Browser type huwa haina impact kubwa sana na spidi ya net, although browsers kama opera mini zinakuwa fasta kwenye simu kwa sababu content inayokuja kwenye simu yako tayari inakuwa compressed kwenye servers kabla ya kukufikia.

Hapo unatumia direct kwa simu au umeunganisha na computer? maana nataka nijue kama hiyo simu ukiunganisha na computer je itapatikana speed ile ile au inarudi kwa 234.8kbp/s
 
Back
Top Bottom