wakuu mimi natumia gmail nikitaka kusagn in kwenye komputer yangu napata maelezo yafuatayo

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,912
[h=1]There is a problem with this website's security certificate.[/h]

[h=3]The security certificate presented by this website has expired or is not yet valid.[/h][h=3]
Security certificate problems may indicate an attempt to fool you or intercept any data you send to the server. [/h]
[h=2]We recommend that you close this webpage and do not continue to this website. [/h]
[h=4]Click here to close this webpage. [/h]
[h=4]Continue to this website (not recommended). [/h]
res://\\ieframe.dll/invalidcert.htm?SSLError=67108864##
More information

NAHII NI KWA GOOGLE
· If you arrived at this page by clicking a link, check the website address in the address bar to be sure that it is the address you were expecting. N

· When going to a website with an address such as https://example.com, try adding the 'www' to the address, https://www.example.com.
· If you choose to ignore this error and continue, do not enter private information into the website.
For more information, see "Certificate Errors" in Internet Explorer Help.
 
hakikisha tarehe na muda uko sahihi kwenye pc yako.

Likishindikana hilo fanya scan unaweza ukawa na malware/virus.

asante sana mkuu kwani umepatia kwa asilimia 100, ni kweli tarehe na mda havikuwa vimerekebiswa na baada ya kurekebisha lile tatizo limekwisha.

Asante sana
 
Pia angalia onboard battery yako-inawezekana imekwishnei-should change it, ili next time isikuletee machejo kama hayo tena
 
kwani wewe uliangika nini kwa "search bar"? inaonekana uliangika tu google ao GMail. gonga https://mail.google.com/ .
Pia inategemea uko pande gani ya dunia. Kuna nchi zingine zinakataza google na gmail yake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom