Wakuu kuna umuhimu wowote mume kula chakula cha nyumbani!

ananijua vizuri, so hata akila wapi kama anataka tulale salama aje ale na home,hata vijiko viwili vitatu kuliko kuacha kabisa.

Asipo kula si anakuwa kapunguza bajeti Nyamayao vile vile hapa watu wanachanganya aina ya misosi kuna msosi wakunawa na mwingine wakuto nawa unakula hivi hivi.
 
...wengine hawapigiwi tayari wanacheza, usipompikia ndio hutamuona tena hapo!
Tena ndo itakuwa furaha yangu maana atakuwa amenipunguzia makunyanzi kujaa haraka usoni na mivuko ya miugali na wali.
 
Jamani kunavitabia vingine kama hivi sio vya kuendekeza na kukuletea ugomvi ndani ya nyumba. It is so simple...hataki kula...pika shea ya wanao achana naye na wala usimuulize mpaka atakapouliza yeye. Nilikuja kugundua hivi viumbe vinapenda sana kutingishatingisha vibiriti ambavyo vingine havina njiti ndani(havitingishiki), why! kwa nini umsumbuesumbue mwenzako bila mpangilio wowote. Kama wanataka kusumbuasumbua watumie njia za kimapenzi na sio Psychologia. I hope nyie midume especially ya humu Jf mmenipata...mukawaeleze na wenzio huko nje.
 
Nadhani ili suala wengi wamelitazama kiufupi sana,dhana ya kula nyumbani ni utamaduni tuliolishi toka kwa mababu zetu,lakini maana halisi ya kula nyumbani si kama wengi walivyolitazama.

Wakuu maana halisi si chakula cha mezani hapa ni kwamba unaporudi nyumbani hata kama ni usiku mrefu lazima umpe mkeo haki yake ya ndoa(marital rights yake) yaani kwa lugha nyepesi ni lazima ufanye tendo la ndoa unarudi home kwa mkeo ndio chakula chenyewe.mpo hapo.
 
Jamani kunavitabia vingine kama hivi sio vya kuendekeza na kukuletea ugomvi ndani ya nyumba. It is so simple...hataki kula...pika shea ya wanao achana naye na wala usimuulize mpaka atakapouliza yeye. Nilikuja kugundua hivi viumbe vinapenda sana kutingishatingisha vibiriti ambavyo vingine havina njiti ndani(havitingishiki), why! kwa nini umsumbuesumbue mwenzako bila mpangilio wowote. Kama wanataka kusumbuasumbua watumie njia za kimapenzi na sio Psychologia. I hope nyie midume especially ya humu Jf mmenipata...mukawaeleze na wenzio huko nje.

Penny unavyoonekana huwapendi hawa watu maake hata unavyotumia viwakilishi vya kusimama badala ya uanaume ni kama wanyama.

umeolewa kweli kama atakayekuoa anatembelea humu anaweza kukwaza hivyo punguza ukali wa maneno hata kama ulishatendwa.

Kutendwa katika mahusiano haviepukiki hata kwa hawa wanotoa ushuhuda kuwa mambo yao yako poa ila ukifuatilia kabla hayajawa poa tayari walikuwa na vimkwaruzo fulanix2.
 
Pole dear ni msisitizo tuu si unaona ulivyokuingia.
 
Hehehehehe...wanawake wenye frustration utawajua tu. Too bad wako kwenye relationship mbaya...
 
Wake wa dot com generation ata kupika hawajui sasa sijui mtakula TV dinner?
 
ni muhimu hususan kutegemea na muda....sio karudi saa sita usiku unamtengea liugali mezani, ndo mwanzo wa vitambi huo....
 
Hapa ni vizuri tukawa katika uhalisia; siwezi kula wali maharagwe wakati nimeutwika nvinyo...nitarudisha change tu na mke/house girl kupata taabu ya kudeki. here I mean mke aandaye chakula kinachofanana na nilivyo,,,,,lazima nitakula; vinginevyo supu ya kongoro au nyama choma inanihusu baa.
 
Wakuu naomba munisaidie kuhusu hili suala je kuna umuhimu au kuna ulazima wowote wa mume pindi atokapo kazini au safarini kula chakula cha nyumbani hata kama ameshiba au hajisiki kula?

Hapa naongelea kuwa mume anawajibika kuhakikisha kuwa kila kinachohitajika nyumbani kipo na hakuna mapungufu yoyote?

umuhimu upo tena sana
1.huongeza upendo
2.kama unakula na watoto kama unao ni vizuri sana maana hata watoto watajifunza tabia nzuri ukubwani na huleta masahikamano tena mtoto anaweza hata kugoma hawezi kula bila baba loo furaha iliyoje
wewe hata kama hujisikii kula we shikashika hata kijiko kimoja tu
sasa ukisema umeshiba itabidi useme umekula wapi?ujieleze hasa
 
Sasa usipokula kwako utakuwa unapikiwa wapi km si mpango wa kando tena hapo?kula muhimu tena sio uonje ule ushibe unless uwe hufurahii mapishi ya wife but badala ya kufanya mgomo wa kula better umueleze ili alifanyie kazi
 
Wake wa dot com generation ata kupika hawajui sasa sijui mtakula TV dinner?

kuna mmoja nikamwambia leo andaa chips..sijarudi toka job nakuta anahangaika kuzipika kwenye kaangio la chapati.kwa kiwango cha mafuta kama anakaanga chapati.
 
Jamani na maisha haya ya kibachelor nilivyozoea kula bar nyamachoma, michemsho, kitimoto etc sijui kama nitaweza kula chakula formal nikioa..

Yaan nipo home almost a week chakula cha home mawali, sijui michuzi haipandi kabisa mpaka mother anashangaa as sijazoea formal meal za kifamilia, inabid nimtoroke nikale zangu bar za jiran kama nilivyozoea nikiwa geto kwangu,,,, vyakula vya home havipandi kabisa na mvinyo especially kwa wapiganaji daily lazima upate hata moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom