Wakuu kimenuka wapi!???,FFU kibaoo!

Kaka asante kwa uzalendo wako nina imani wewe ni FFU lakini mzalendo hivyo unatupa taarifa ili tujiweke sawa asante sana kwani mara zote umekuwa unatupa taarifa kuwa mko njiani asante sana. Ombi langu kwako siku ukisikia Dr Ulimboka kafa usije kazini tunakutaarifu tu in advance kwani huo utakuwa mwanzo wa mwisho

Nimeipenda hii mkuu! mi natokea njia hii na ni mara ya pili nikiwa njiani kwenda job wananipita njiani!
 
Hao FFU wameridhika na maisha wanayoishi kule ukonga, nyumba full suit "juu bati, kando bati", vyumba viwili vya kulala, familia kubwaaa mpaka sebuleni malazi. Asubuhi wakitoka ndani ya nyumba utafikiri watu wanatoka semina/uwanja wa taifa hivi.

Hata Dr. Lyatonga Mrema wakati ule anatetea maslahi yao pia walimpiga vita, ikabidi awape vidonge vyao. Hao dawa yao wananchi wawape serikali iliyochini ya M4C tuone nao kama watagoma.
 
wakimaliaza kuwapiga hao wanaoenda kuwapiga basi waende Ikulu na bungeni kwa wale wanaoongea ***** kutwa nzima
 
Wanaenda kituo chao kipya cha kazi. Kituo kipya kipo ndani ya viwanja vya zima moto, barabara ya Morogoro na United Nation.
 
ccm imechanganyikiwa ina haha kutisha watu, Nguruwe hatishiwi shamba la viazi
 
Siku FFU wakgoma ntamwambia mwajiri wangu asinilipe mshahara wangu wa mwezi huo
 
Back
Top Bottom