white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,312
- 13,277
nina pc yangu,naweza kuiwasha na kufanya kazi,kama kawaida ila cha ajabu inazimika gafla tu!na kuanza tena inafikia hadi neno window xp linaonekana tena inazima inaanza tena,inaweza ikachukua hata dk 20,ndio inakubali,na hata hivyo utafanya kazi kidogo tu inazima tena!tatizo itakuwa nini? Wakuu.