Wakuu hivi IMF/WORLD BANK kuna ngozi nyeusi yoyote ishawahi kuongoza

mimi nafikiria labda hawatuamini,lakini kweli tumekaa kama hatujiamini kabisaaaa
 
Wakuu ni swali za kizushu hivi haya mashirika ngozi nyeusi kwanini hatupewi kuongoza?

Post ya juu kabisa hakuna ila kwenye senior management wapo. Rais wa Liberia Elen Johnson alikuwa huko, kwa sasa yupo mwanamama mmoja zamani akiwa waziri wa fedha Nigeria. Kwa upande wa Africa naweza kusema wenzetu to WEST AFRICA wapo (I am talking about senior posts)
 
Post ya juu kabisa hakuna ila kwenye senior management wapo. Rais wa Liberia Elen Johnson alikuwa huko, kwa sasa yupo aliyekuwa mwanamama mmoja zamani akiwa waziri wa fedha Nigeria. Kwa upande wa Africa naweza kusema wenzetu to WEST AFRICA wapo (I am talking about senior posts)

mkuu hizo chini tuache tuongelee za juu hivi kwanini hawatuamini kabisa
 
Posts za BrettonWood Institutions (WB na IMF) ni za U.S.A na EU (japo hakuna sheria inayosema hivyo) Lakini kutokana na nguvu zao kifedha tangu zinaanishwa baada ya vita vya pili vya dunia WB inaoongozwa na Marekani wakati IMF inaongozwa na nchi za Ulaya kwa kupokezana.
Aongoze Mwafrika halafu masharti magumu wampe nani?
 
hapo ndo kazi ipo halafu kwa maoni yangu naona haya mashirika yanachangia sana umasikini kwa masharti magumu ya kukopa'
 
Wakuu ni swali za kizushu hivi haya mashirika ngozi nyeusi kwanini hatupewi kuongoza?

Kuna waafrika wengi wanafanya kazi world bank and or IMF kwenye nafasi za ukurugenzi, ukurugenzi mkazi n.k. Isipokuwa nafasi ya Mkurugenzi Mwendeshaji (IMF/WB Managing Director), mkurugenzi wake ni lazima atoke Marekani au "Eurozone" kwa kuwa wao ndo wenye hisa nyingi katikai hicho chombo.
 
Siyo suala la kuaminiwa. Hii ni Brentonwood institution na kuna ka utamaduni kuwa Marekani na nchi za Ulaya magharibi ndizo zina sauti kubwa. Uongozi wake kwa kawaida lazima ukubalike kwa Marekani na ni kama wamegawana nafasi za uongozi na nchi kama vile Ufaransa, Ujerumani, Uingereza n.k.
 
kwani hizo sheria za kujiwekea haziwezi pitiwa upya tena kuwa atleast na uwasa
 
Kuna waafrika wengi wanafanya kazi world bank and or IMF kwenye nafasi za ukurugenzi, ukurugenzi mkazi n.k. Isipokuwa nafasi ya Mkurugenzi Mwendeshaji (IMF/WB Managing Director), mkurugenzi wake ni lazima atoke Marekani au "Eurozone" kwa kuwa wao ndo wenye hisa nyingi katikai hicho chombo.

mkuu hizo kazi za chini hatujaongelea kwenye mjadala nataka kama ina wezekana afrika kwa ujumla ipeleke muswada wa haki kwa wote tuweze hata kuongoza moja
 
unajua na viongozi wetu hakuna kitu kwanini wasilalamike hata kidogo kuhusu hii ishu

Ndugu zangu ninacho amini tuliumbwa kuwa mfano wa watu,wenzetu weupe hasa wazungu waliumbwa kama watu,ndio maana hata rais mweusi akimuona fisadi mwenye rangi tu inayofana na nyeupe hata kama sio nyeupe atampa vyote mali na rasilimali za watu weusi zitaenda tu,huku rais anacheka cheka kama ***** anaona its okey tu
 
hahaha hapo kwenye star u mean m k w e r e siyo
 
ulishawahi kusikia mzungu anaomba mkopo wa pesa kutoka kwa mtu mweusi??kama utapata jibu usiulize tena,..sisi tuna matope upstairs
 
Back
Top Bottom