Wakuu hili jambo linanisumbua sana

hapo wanakuwa na vijiba vya roho mwanamke hapendi kuzidiwa uzuri na mwanamke mwenzie hapo kasoro lazima zitatolewa. na si unajua hayo ma wowowo siku hizi ni mtaji so wakiona mwenzao analo basi wanajua mambo swaaafi

mkuu nikweli nimeona makundi 2 kunanao angalia kwa kejeli na kukosoa na wanaoangalia kwa matamanio kama mwanaume na macho yenu yakigongana nikama yamegongana na mwaume mwenzio unao kifaa icho
 
Wanawake wengi hutamaniana kingono, kwani hujasikia kuhusu ma-lesbo na bi?
 
Wanawake wengi hutamaniana kingono, kwani hujasikia kuhusu ma-lesbo na bi?

Hii si kweli!

Navyojua mimi wao huwa wanashindana, kwahiyo wanapomwangalia
mwenzao huwa wanajaribu kujilinganisha nani zaidi. Kama hufahamu
wadada wengi huvaa vizuri kwaajili ya kushindana na wadada wengine.

Pia naelewa kuwa kunawale ambao huvaa ili kujisikia vizuri bila kujali
wengine watawafikiria vipi lakini hawa si wengi.

Wadada mnaweza kunisahihisha kama nimekosea hapa.
 
mkuu ni kweli unavyosema lakini kuna wengine ata usoni unasoma ki2 cha tofauti na kujilinganisha mavazi au mengine
 
Back
Top Bottom