Wakuu hii ni kweli " A wife is like a TV''!!!!!!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,892
A Wife is like a TV

A Girlfriend is like a MOBILE

At home u watch TV, but when u go out u take your MOBILE

No money, u sell the TV, got money u change your MOBILE

Sometimes u enjoy TV, but most of the time you play with your MOBILE

TV is free for life, but for the MOBILE, if you don't pay, the services
will be terminated

TV is big, bulky and most of the time old!
But the MOBILE is cute, slim, curvy and very portable

Operational costs for TV is often acceptable, but for the MOBILE it is
often high and demanding

TV you can control by remote, MOBILE you CANT

Most importantly, MOBILE is a two-way communication (u talk and
listen),but with the TV you MUST watch and listen (whether you want to or not)

Last but not least! TVs don't have viruses, but Mobiles often do.

Nice Thinking...Nimeipenda kinyama...
Ningekuwa nakaa Ghetto ningeibandika ukutani hii, ndo zetu za zamani!..lol!
Ila kulikonipa mashaka ni hapo kwenye RED, how come unauza WIFE ukikosa pesa?...nyorosha maneno!
 
husband z like antena...once ikishndwa kuonyesha uku unaigeuzia uku na kule au unaing'oa kabisa na kutafuta kibust kdg unakiweka ndani ambacho ni rahisi kukiweka sawa na kinaonyesha vizuuuuuuuuuuuuuuuri yan picha au tukio zima unalifill ipasavyo na ivyo kuifuraia burudani ya runingaaaaaa na si sawa na antena ambayo ni ndeeeeeeeeefu na old n always imesimama wima.....
 
apo chacha!!!!!!
 
Du...Hapa bado sijaelewa how men are like Antenna...!
Kwahiyo hiyo booster ni Houseboy?
 
mmmmh hiki kizazi kina raha yake bana!!!!!!
 
Du...Hapa bado sijaelewa how men are like Antenna...!
Kwahiyo hiyo booster ni Houseboy?

anybody related to antena
tatizo asi upate burudan sa km inakupa burdan ya kutosha bas pooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaa....wakat we waenda kwa mobitel then mrs awa bze na kibust hm anakirekebsha na kuenjoy life....
 
husband z like antena...once ikishndwa kuonyesha uku unaigeuzia uku na kule au unaing'oa kabisa na kutafuta kibust kdg unakiweka ndani ambacho ni rahisi kukiweka sawa na kinaonyesha vizuuuuuuuuuuuuuuuri yan picha au tukio zima unalifill ipasavyo na ivyo kuifuraia burudani ya runingaaaaaa na si sawa na antena ambayo ni ndeeeeeeeeefu na old n always imesimama wima.....
We Samaki!!
 
Duh!!! Nimechoka kwenye ndoa kuna mengi I wish niingie huko nijionee mwenyewe hayo ya Antena,Booster na TV!!

anybody related to antena
tatizo asi upate burudan sa km inakupa burdan ya kutosha bas pooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaa....wakat we waenda kwa mobitel then mrs awa bze na kibust hm anakirekebsha na kuenjoy life....
 
anybody related to antena
tatizo asi upate burudan sa km inakupa burdan ya kutosha bas pooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaa....wakat we waenda kwa mobitel then mrs awa bze na kibust hm anakirekebsha na kuenjoy life....
Orait, kwa hiyo ili wewe TV uweze kuonyesha bila chenga, unajichomeka booster, unaigeuza kiurahisi na kwa jinsi utakavo ww.
Kwa hiyo antena ni usumbufu coz handling yake haiko user friedly, ili TV wewe uonyeshe clear ni mpaka utoke nje na kugeuza geuza!
 
bust =DIG DIG
ai unajua shuguli zao?
 
husband z like antena...once ikishndwa kuonyesha uku unaigeuzia uku na kule au unaing'oa kabisa na kutafuta kibust kdg unakiweka ndani ambacho ni rahisi kukiweka sawa na kinaonyesha vizuuuuuuuuuuuuuuuri yan picha au tukio zima unalifill ipasavyo na ivyo kuifuraia burudani ya runingaaaaaa na si sawa na antena ambayo ni ndeeeeeeeeefu na old n always imesimama wima.....

yaani umenichekesha mno mpaka nimedoondosha udenda kwenye computer yangu....interesting..u have made my day nicer
 
ntakuja kuufuta usijali...!!!!
ahh watu awa wana idea za kusema wanawake tu as if wao wapya na watakatifu sana...mi stak ivo wanawake pia ni watu tunaitaj heshimaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
husband z like antena...once ikishndwa kuonyesha uku unaigeuzia uku na kule au unaing'oa kabisa na kutafuta kibust kdg unakiweka ndani ambacho ni rahisi kukiweka sawa na kinaonyesha vizuuuuuuuuuuuuuuuri yan picha au tukio zima unalifill ipasavyo na ivyo kuifuraia burudani ya runingaaaaaa na si sawa na antena ambayo ni ndeeeeeeeeefu na old n always imesimama wima.....

Haya bwana mnatisha kiukweliNa dish je tunafaanyeje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom