Wakuu hebu toeni mchango wenu kuhusu hili la .co.tz

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
HOPE MKO POA IT ENTHUSIASTS WENZANGU,
NIMEFANYA KAUTAFITI KADOGO KUHUSU CCTLD (COUNTRY CODE TOP LEVEL DOMAIN) YA TANZANIA YAANI .CO.TZ

IPO WAZI NA INAELEWEKA ISSUE YA DOMAINS NA SUB-DOMAINS, KWAMBA YULE MWENYE OWNERSHIP YA DOMAIN FLANI ANAWEZA KUSAJILI A LOT OF SUBDOMAINS, KWA MFANO JAMIIFORUMS.COM YAWEZA KUWA NA SUBDOMAINS NYINGI KAMA ADMIN.JAMIIFORUMS.COM, MAIL. JAMIIFORUMS.COM ETC. NA NDIO MAANA JAMAA KAMA WALE WA CO.CC WANATOA BURE DOMAINS ZENYE CO.CC AS MTU ATAESAJILI ANASAJILI AS SUBDOMAIN.

BACK TO OUR CASE:

IPO WEBSITE AMBAO NI TOP LEVEL DOMAIN KWA SITES ZA TANZANIA YENYE DETAILS ZIFUATAZO:
Yenyewe ni:
ambayo inaonekana ni ya kampuni ya: Microlink Technologies Ltd iliyoko Zambia
KWA SUALA HILI INAONEKANA KAMA MTU AKIWEZA KUI-HACK CONTROL PANEL YA HAO MICROLINK (WENYE .CO.TZ) WALIOKO ZAMBIA, BASI ATAKUWA NA UWEZO WA KUZIANGUSHA DOMAINS ZOTE ZENYE EXTENSION YA .co.tz

MNALIONAJE HILI WAKUU, JE NI SAFE KUSAJILI .CO.TZ KWA STYLE HII??? WENZETU KAMA WAINGEREZA, .CO.UK INAONEKATA HAIKO ALIVE KABISA COZ HATA UKI-PING .CO.UK, ITAKUAMBIA HAIJAONA CHOCHOTE.

MCHANGO WAKO UTATUSAIDIA WENGI.
 
KWA SUALA HILI INAONEKANA KAMA MTU AKIWEZA KUI-HACK CONTROL PANEL YA HAO MICROLINK (WENYE .CO.TZ) WALIOKO ZAMBIA, BASI ATAKUWA NA UWEZO WA KUZIANGUSHA DOMAINS ZOTE ZENYE EXTENSION YA .co.tz



Check out IANA/ InterNIC guidelines and RFC (RFC 1591) na ISO-3166. RFC 1591 imeelezea vizuri sana hili na ku adress suala la top level domain squatting.

http://www.rfc-editor.org/rfc/rfc1591.txt

Ila kama kweli top level domain wa .tz yupo Zambia that in itself is concerning and ground for dispute.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom