wakuu:HAPPY BIRTHDAY TO MEE

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,091
15,983
leo nafikisha miaka 33,SIAMINI KAMA NI MIMI
@nikikumbuka enzi ya kupika mchanga kwenye kikopo cha blue-band huku mkicheza mchezo wa baba na mama
@nikikumbuka enzi za kucheza kombolela
@nikikumbuka enzi za kutengeneza magari ya waya mpaka nikawa na jina a.k.a MJAPANI-gari gani ulikosa kwangu?mecedess benz,basi leyland,tipper,504 yote utayakuta kwenye yadi
@nikikumbuka kipindi cha primary kwenda na mfagio shule na kula asikilimu break time na mabumunda
@nikikumbuka walimu wangu enzi hizo waliokuwa wanasifika kuchapa viboko kwa style tofauti hasa mwalimu MBOGELA na MWAGALA na MKUNILA
@nikikumbuka videmu vyangu vireeembo nilikua nakaa navyo dawati moja huku tukichangia kila kitu,josephine,mgeni,ashumta
@nikikumbuka naanza darasa la kwanza siku ya kwanza nikamchapa jamaa ngumi ya uso kisha kuachishwa shule.
@nikikumbuka pale barua ya mapenzi ikiwa na jina langu kukamatwa shule huku nikiwa si mimi nilioiandika mama akiwa mwalimu akaipeleka nyumbani kisha baba kuniadhibu kama mbwa mwizi.
@nikikumbuka pale baba alipofariki kwa imani za kichawi baada ya kusimamia mirathi ya rafiki yake kisha maisha yote kugeuka juu chini.
@nikikumbuka pale nashushwa kwenye basi la relwe iringa huku askari akiruhusu basi liendelee na safari na familia yangu bila mimi
@nikikumbuka girl-friend wangu wa kwanza house-girl.
@nikikumbuka kulazwa polisi kwa mara ya kwanza na mama watoto wangu(na ikaendelea mara tatu)
@nikikumbuka siku niliyoachwa na basi KWACHA rujewa kisha kuanza kulikimbilia mpaka liliposimama km umbali wa km 5.huku nikiwa nimeacha viatu vyangu vipyaaa nyuma enzi hizo tuliviita mbeya glocs au sido,magongo
@pale niliposingiziwa nimekufa:A S-danger:kisha kukutana na mtu anayenijua akanikimbia akizani mzuka
yaaani ni mengi ambayo nikiendelea kukumbuka nitamaliza kurasa zote za JF,sikutegemea kama nitakuwa hapa leo,MUNGU MKUBWA

BY THE WAY:NEXT WEEK TAREHE 25 june FRIDAY NAOA RASMI -MEMBER WOTE WA JF MNAKARIBISHWA NA TUTASHEREHEKEA HAPA HAPA,KAMATI YA VINYWAJI MUONE MASANILO NA CHRISPIN UKIPUNGUKIWA.
 
hongera babukijana kumbe umri wako bado hivyo? bado unawakati mzuri wa kutumika, kuitumikia familia yako, jamaa na jamii kwa ujumla. Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
 
hongera babukijana kumbe umri wako bado hivyo? bado unawakati mzuri wa kutumika, kuitumikia familia yako, jamaa na jamii kwa ujumla. Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na mafanikio.
he hee ,mkuu mi naona nimesogea kwel yaani
 
hahaa Babu Kijana Hongera basi mi nlikuwaga najua unakimbilia miaka hamsini....bythe way hongera and wish u all the best on ya wedding,ni mdhungu au????
 
hahaa Babu Kijana Hongera basi mi nlikuwaga najua unakimbilia miaka hamsini....bythe way hongera and wish u all the best on ya wedding,ni mdhungu au????
he he hee,jina tu hilo lakini natumai ntafika huko,na hapo kwanini umeuliza hivo?
 
Happy birthday BK............Vipi maandalizi ya harusi yaendaje lakini...Kama nakuona vile hiyo tarehe 25.....Mzee ndani ya Suti kuuuuuuuuuubwa,na ufupi huo............hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa....Kila la heri ndugu yangu
 
nimekuuliza hivyo coz hukumbuki kunitonya kuwa u r married 2 a mzungu coz nilikuulizaga kwanini unamshambulia yule demu wa kibongo aliyekuwa anasukwa weaving na mumewe mzungu..by the way jina lisikutishe npo bongo hii hii.
 
hujatulia weye,umebadili jina sio?yule alinikera
bana,ooh mume wangu ananipenda,ananisuka nywele oneni,ili tufanyeje?by the way yaliisha na wewe nikija huko tuta-do ze nidiful :hungry:
 
Happy birthday BK............Vipi maandalizi ya harusi yaendaje lakini...Kama nakuona vile hiyo tarehe 25.....Mzee ndani ya Suti kuuuuuuuuuubwa,na ufupi huo............hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa....Kila la heri ndugu yangu
he he hee,mkuu bala thanx bana we acha tu,mambo inaenda pooowa kabisa suti ipo tayari mkuu he he heeee,si unaona na hiyo shepu kwasuti indeed
ni bata sanaa,enewei tutare-wind nikija mkuu.:hungry:
 
sijabadili jina ila nilikuwa na tatizo na my e mail thats why...all the best,ya kweli lakini hayo uliyoorodhesha hapo mwnzo au fiksi tu....
:teeth:
 
he he hee,mkuu bala thanx bana we acha tu,mambo inaenda pooowa kabisa suti ipo tayari mkuu he he heeee,si unaona na hiyo shepu kwasuti indeed
ni bata sanaa,enewei tutare-wind nikija mkuu.:hungry:

Nakusubiri aisee.........Salamu kwa mtarajiwa
 
Happy birthday BK oooh umenikumbusha mbali sana. By the way ongera kwa kuzaliwa mwaka mmoja na CCM
Harusi njema...nakutakia uzao mwema hasa baby girl kuwa first born....atakutunza uzeeni eeeeh ....
mix with yours
 
...........Happy birthday Babukijana, Mungu akulinde uishi miaka 100+ zaidi uone wajukuu, vitukuu , na vilembwe vyako.:party:
 
Back
Top Bottom