Wakushuka chadema yupo!!!!!

LD

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
3,014
574
Leo jioni nikiwa ndani ya daladala kutoka Mwenge kwenda Makongo juu, Konda alikuwa anatangaza vituo kama kawaida ili watu wasipitishwe vituo vyao vya kushukia.

Kuna kituo kimoja kinaitwa CCM nadhani kuna ofisi za CCM mahali hapo,
Mara konda kasema CHADEMA!!! Wakushuka CHADEMA yupo?

Abiria waliokuwa wanashuka wakasema tupooooo, shusha hapo CHADEMA.
 
kipo kingine pale buguruni wanaita CHAMA sasa sijui chama gani
 
Back
Top Bottom