Wakumbekeni Viongozi wenu jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
379556_213648995378464_1441590232_n.jpg

Mwalimu Mzee wa Rukhsa MR. Ben Mr J.K.
 
Pale kwenye JK ungeweka msanii Vasco da Gama ingependeza au tuseme baba Vimwana Mbayuwayu bin Kihiyo bin Kichwa Ngumu.
 
mkuu Father of All Siwezi kumtania Mr JK . Kwetu kumuoja Bwagamoyo halafu mimi si mtani wake na wala siwezi kumfikia kiumri kanizidi ki umri yupo sawasawa na kaka yangu halafu ni Rais wangu nachunga heshima yake mkuu samahani.

Katuni%2BAgost%2B24.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa photo ulizotoa nimekuelewa siyo kukulewa. Kweli wabongo mna mambo eti huwezi kumtania zaidi ya kumkandia siyo?
 
Mkuu MziziMbichi sorry Mkavu,
Hivi huo utalii unaona ni sifa nzuri wakati Zero wenu anaamini anapofanya utalii yuko kazini na kashakunaku kake?
 
mkuu Father of All Siwezi kumtania Mr JK . Kwetu kumuoja Bwagamoyo halafu mimi si mtani wake na wala siwezi kumfikia kiumri kanizidi ki umri yupo sawasawa na kaka yangu halafu ni Rais wangu nachunga heshima yake mkuu samahani.

Katuni%2BAgost%2B24.jpg

Huyo wa mwisho mbona swali halijakamilika? Halafu ana tabasamu kali!
 
Mkuu, kwa jinsi nilivyoelewa utalii uliowekwa hapo kwa dhaifu ni kwamba yeye ndio mtalii ila sio swala la watalii kuja ili tupate pesa za kigeni.Kila siku yeye anatalii nchi za watu na kuchekecheka kwake na hapo anawaza nchi gani hajaenda ili aende kabla ya 2015.

Mkuu.@Father of Al Hujuwi Utalii ndio unaoingiza Pesa za kigeni?Pasipo kuja Watalii tutapata wapi Pesa za kigeni?
 
mkuu Father of All Siwezi kumtania Mr JK . Kwetu kumuoja Bwagamoyo halafu mimi si mtani wake na wala siwezi kumfikia kiumri kanizidi ki umri yupo sawasawa na kaka yangu halafu ni Rais wangu nachunga heshima yake mkuu samahani.

Katuni%2BAgost%2B24.jpg

DUHH !!!!! Mkapa hapa ameonewa katuni yake sio mchezo ! na huyu wa mwisho hana woga na kupaa angani ama aliwahi kusomea urubani ?
 
Mkuu altaaf Mzee Mkapa hajaonewa kitu katuni yake ni nzuri kama jinsi inavyojieleza yeye Mzee mkapa si mfupi kisha anacho kifriji? sasa kwanini ameonewa?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Father of All Siwezi kumtania Mr JK . Kwetu kumuoja Bwagamoyo halafu mimi si mtani wake na wala siwezi kumfikia kiumri kanizidi ki umri yupo sawasawa na kaka yangu halafu ni Rais wangu nachunga heshima yake mkuu samahani.

Katuni%2BAgost%2B24.jpg

Samahani mkuu, nachojua mimi Tanzania ni nchi isyofungamana na upande wowote! swali kwa nini sijasikia Jakaya katembelea nchi zifuatazo Afghanistan, Iraq, Pakistan, Syria, Lebanon, Israel, Cuba, Venezuela, Madahascar, Iran, DRC, Bulgaria, Czech, Uzbekistan etc. hta Burundi na Rwanda kwa nini???????????
 
Back
Top Bottom