Wakumaliza nae mwaka.

Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer ntampa kipau mbele, asiwe mlevi ila awe anakunywa kwa raha zake na si kupunguza mawazo, anaejua ku enjoy, kuogelea.

Pls nipo interested sana na nipo serious Mamushika coz vigezo vyote ulivosema esp nilivokoleza utafikiri ushaniona!!
Pls nipe detail zako na nipate hili trip la kufunga mwaka!!!
Uko kati ya miaka hii? 34 to 40? If so basi mayb ur the one.
 
Ooh jamani Bacha nilisahau asante kwa kunikumbusha, Age lazima awe kuanzia miaka, 34 mpaka 45 si mbaya kwangu.

Naomba mchakato wa kumpata utakaetoka nae, kwani tayari wameshazidi mmoja ikwa pamoja na mimi mwenye vigezo+, tafadhali uchakachuaji usitokee hapa. Naamini hutaishia tu kuanza mwaka bali utaning'ang'ania.

Contact details plz!
 
CONDITIONS. Lazima mtu huyo akubali mwaka mpya utukutie kanisani tukisali kokote tutakapo kua. .

Hapo ndipo patakaponishinda, siwezi kuacha kula uroda usiku wa mwaka mpya, mwaka mzima nitatembelewa na ukame wa K
 
na wewe toa sifa zako maana duuuh!sio mchezo hiyo trip.ila naogopa kusema niko tayari maana yaweza kua wewe ni zombi buree unamalengo yako mengine.ila itakua bahati sana kwako ukipata company yangu
 
Weka picha yako hapa tukuone. Usije ukawa unatisha kama jidume ndio maana unataka waliokomaa.
Pia useme unapendelea style ipi? ili tuanze mazoezi mapema.
 
Naomba mchakato wa kumpata utakaetoka nae, kwani tayari wameshazidi mmoja ikwa pamoja na mimi mwenye vigezo+, tafadhali uchakachuaji usitokee hapa. Naamini hutaishia tu kuanza mwaka bali utaning'ang'ania.

Contact details plz!

Aaa uchakachuaji hakuna jamani nasubiri waongezeke ni chague, si unajua wengine miaka itawaangushaaa.
 
Hapo ndipo patakaponishinda, siwezi kuacha kula uroda usiku wa mwaka mpya, mwaka mzima nitatembelewa na ukame wa K
Haaa haaaaa mbavu zinavunjika sikutegemea kigezo hicho kinaweza kuengua mtu.
 
Back
Top Bottom