Wakulima 1,000 waandamana Kibaigwa na kuziba barabara ya Dar-Dom

Hakuna kiongozi wa upinzani mwenye uwezo kuitisha maandamano kama yale ya waarabu. Isitoshe hakuna mtanzania anayeamini sana juu ya kutafuta haki kupitia maandamano.
 
wanyama wanatengewa nafasi kwa kuwaondoa watu! Mh! Hii serikali inathamini sana wanyama kuliko watu?
 
HT said:
wanyama wanatengewa nafasi kwa kuwaondoa watu! Mh! Hii serikali inathamini sana wanyama kuliko watu?
Ndio ati..., wanyama tutawatorosha na kuuza Qatar, Mtu bin-Adam utamtoreshea wapi?
 
Tunisia walitumia polisi na jeshi kuzuia maandamano, lakini watu waliandamana mpaka kikaeleweka!
 
wanyama wanatengewa nafasi kwa kuwaondoa watu! Mh! Hii serikali inathamini sana wanyama kuliko watu?

Yah inafanya hivyo ili hawa wanyama wakue haraka haraka wapelekwe Quatar
 
Back
Top Bottom