wakubwa naombeni msaada kuhusu hili......nakaribia kukosa haki yangu ya elimu!

Da pole sana jamaa yangu,bila shaka uliomba mkopo na priorities prgms tcu,lkn pia nakuomba endelea kuwa waz mpaka kwa viongoz wa din,makampuni tofaut tofaut na watu mmoja mmoja wenye uwezo nadhani mwenyezi Mungu ataenda kutenda maajabu yake,MUNGU aliyekufikisha hapo ndiye yule atakae kupeleka chuo,nothing is impossible mkuu.
 
pole sana mkuu, jaribu kufuatilia kwenye taasisi za dini unaweza kupata msaada.
 
huyo mbunge wako ni kitunguu maji,kwanza kuna pesa za jimbo,pili juzi wamepewa fedha za sensa,tatu wameongezwa mshahara kutoka 7milion to 11milion,na rushwa kutoka nishati na madini mwambie apunguze kidogo akupe.
 
TCU uliomba kozi zipi?? kama zina mkopo utapata, ila kama hazina itabidi utafute njia mbadala kama kwenda katika sehemu zinazo saidia watu wasio na uwezo kama makanisa na taasisi mbalimbali, natumai mungu atakusaidia ufikie pale uhitajipo
 
Nafahamu kuna taasisi moja hutoa msaada wa kusomeshwa ktk level ya chuo (Kwa watoto wa kike tu). Ktk maelezo yako sijaona clue ya jinsia yako. Kwa kuwa taasisi yenyewe nimeisahau kidogo, nitafuatilia and will get back to you soon.
 
ahsante sana mkubwa, iam male in gender, but please i beg you, help me!
Yani kusema ukweli ndugu zangu mpaka sasa niko nafanya kazi za ulinzi ilimradi tu selection zikitoka, nipate pa kuanzia.
Natanguliza shukurani!
 
huyo mbunge wako ni kitunguu maji,kwanza kuna pesa za jimbo,pili juzi wamepewa fedha za sensa,tatu wameongezwa mshahara kutoka 7milion to 11milion,na rushwa kutoka nishati na madini mwambie apunguze kidogo akupe.

mdau ni kwamba aliyekua anamsomesha ni x-mbunge wa ilemela mh...wa star tv kabla ya kudondoshwa kwenye uchaguzi na mh g.kiwelu wa cdm,hivyo jamaa si mbunge tena.
 
kaka umeomba programs zipi? Kaka mimi pia nina hali kama yako,na ilinibidi nikae mwaka mzima nyumbani,kwa kukosa ada ya chuo. Katika kipindi chote nilichokaa nyumbani,nilijifunza kwamba mtoto wa maskini hachagui. Mwaka huu nilifanya applcations kwa kulenga programs zenye kipaumbele cha mkopo(education). Pia niliomba na diploma ya ualimu(nimepangiwa korogwe). Hii inamaanisha kwamba,nikikosa mkopo,naenda kusoma diploma,nikipata namshukuru mungu. Nakushauri,kama hukuomba programs zenye kipaumbele cha mkopo,nenda chuo chochote cha serikali kinachotoa diploma ya ualimu,ueleze matatizo yako na uombe nafasi ya kwenda kusoma ualimu. Ndoto zako utazitimiza baadae,naomba uamini ninayokuambia.
 
Back
Top Bottom