Wakubwa hebu tuongee bios password!

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
906
Huwa najishughulisha na computer hardware na software pamoja na related items.Kwa sasa najifunza jinsi ya ku-unlock bioss password za laptop zote.Nimefanya my homework na niko somewhere hivi but naona mziki sio mdogo.
NAOMBA KUCHANGIWA MAWAZO NA KUELIMISHWA. Thanx in advance
 
kwa sasa nivigumu kupata, njoo nikuuzie kifaaa cha kuanlock bios kinatumia brutoforce password calculater kinatoa master code ya computer zote
 
kwa sasa nivigumu kupata, njoo nikuuzie kifaaa cha kuanlock bios kinatumia brutoforce password calculater kinatoa master code ya computer zote
Naomba mawasiliano tafadhali plus bei kama htojali.I'm not making the publicity of your business ila napenda nijiandae kabla ya kuja na nikija tufanye biashara. Nashukuru
 
na mimi please,msinitengeze as im new in this industry,niko chuo mwaka wa pili, based in security kama nitapata hiyo kifaa itakuwa poa kweli,ili niwe up to date ili nimkoge yule lecture
 
Kwa nini utoe password za BIOS? Walioziweka waliweka za nini?
Aaaah! bosi hivi tena? nna maana kuna wakati inatokea watoto wako au hata we mwenyewe unknowingly ukaset bios pwd na ukasahau.Sasa kwa mimi kama mtu ninayetoa huduma ya kurekebisha kompyuta ninatakiwa niwe na solution kwa hilo thats why natafuta hiyo shule ndg yangu. Summerily: sitoi tu bios pwd, njifunza kuunlock bios pwd zilizofungwa kimakosa na tena ukija mpaka upitie interview yangu na nithibitishe kweli hiyo laptop ni yako nalweli unahitaji msaada huo. Karibu tena
 
Wewe siyo kwamba una deal kuflash bios za computer za deal hapa town? Ili upate msaada tuwekee kivuli cha leseni yako tafadhali... Ukifanya hivyo nakupa msaada mda sio mrefu.
 
Wewe siyo kwamba una deal kuflash bios za computer za deal hapa town? Ili upate msaada tuwekee kivuli cha leseni yako tafadhali... Ukifanya hivyo nakupa msaada mda sio mrefu.

Uko sawa mno mganyizi! Afu last wiki ndugu yangu aliporwa laptop samsung brand new pale udsm maeneo ya udasa kama unaelekea darajani.
 
ninayo program ambayo nataka kuitoa ila source codes zake zipo kwenye lugha ya python. mimi sio mtaalam sana wa python. ndo nataka nijifunze python ili iwe rahisi kuikamilisha kazi. je naweza kukutumia upambane nayo?
 
mkuu ata mm nipo interested naomba unisaidie
 
I am not sure if this is still applicable. But a few years ago I was faced with the same situation. I had to format a box which as a password that no once new and I need it to book from a CD. So I went to a friend of mine that told me that removing that password is a as easy as removing the motherboard battery for about 20mins and put it back and the system will loose all the memory and it will reset to industry default. See this image.

It work for me well. I am just not sure where the battery for laptops are located.

I hope this shades some light on the matter.
 
hata mimi nilishajaribu but nilisoma kwenye forum computing.net kuna chip moja iko ndani niliipgisha short kwa kutumia pini then ikakubali, ila inategegemea na type ya bio.
 
Back
Top Bottom