Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,301
safi sana sisi na kina masanilo tutabakia kutukanana wenzetu wanasonga mbele..................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli mkuu inatakiwa kuwa funzo kwa watanzania watu wote ndani ya jf wangekua wanatoa thread kama zako tungekua mbali sanaHawakukubali kugawanywa kwa misingi ya dini; hawakuwa tayari kuwekwa kwenye sanduku moja ambalo hawakutakiwa kutoka. Walijua wanasimamia nini na wanapinga kitu gani; walijua kabisa matatizo yao ya ujumla yanasababishwa na nini. Hivyo, japo vyombo vingi vya habari havikuonesha wazi sana ukweli ni kuwa wananchi wa Misri waliosimama dhidi ya utawala wa Mubarak walifanya hivyo bila kujali dini zao. Waliunganishwa na nia ya kuondoka na utawala wa kifisadi uliojikita madarakani kwa miaka thelathini.
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr class="no-border allsizes-sizes"><th>
</th><td>
</td><td>
</td><td>
</td><td>
</td><td class="allsizes-selected">
</td><td>
</td><td><small></small> </td> </tr> </tbody></table>
Chini kundi la vijana wa Kikristu wakiwazunguka kuwalinda Waislamu wakati wa kuswali; Jumapili yake Waislamu waliwazunguka na kuwalinda Wakristu wakiadhimisha Misa Tahrir Square
Wakristu na Waislamu wakishika alama za dini zao kuonesha umoja wao dhidi ya ufisadi na utawala wa kifisadi wa Hosni Mubarak
Mmoja kashika Quran mwingine kashika Biblia - dhidi ya serikali ya utawala wa kifisadi
Diverse: Egyptian Christians held mass in Tahrir Square in Cairo in order to counter claims by state television that most of the anti-Mubarak protesters are members of the Muslim Brotherhood
Read more: Egypt protests: Hosni Mubarak turmoil 'will fuel illegal wave UK migration' warns Nato | Mail Online
Hossam el-Hamalawy
Coptic Christians and Muslims unite in Tahrir Square in Cairo, Egypt in an image uploaded to Flickr on Feb. 2.
Egytpian Christians march through Tahrir Square (matthew cassel)
<cite>Guy Martin</cite> Coptic Christians joined Muslim Egyptians to demonstrate unity as protesters in Tahrir Square on Sunday renewed their calls for the resignation of President Hosni Mubarak.
(Egyptians rally at Tahrir Square in downtown Cairo February 1, 2011/Amr Abdallah Dalsh)
This is one of many incredible photos from a wonderful gallery published by The Guardian. Very significant.
Here's the caption:
Protesters hold a Christian coptic cross and copies of the Qur'an as they take part in 'Sunday of the martyrs'. Photo: Amel Pain/EPA
My Take:
Mbele ya utawala wa kifisadi, tofauti zetu za kidini, kikabila na kilugha hazina nafasi. Ni lazima tuungane pamoja kuupinga utawala wa mfumo wa kifisadi kwani madhara yake hayabagudi dini, jinsia, rangi, elimu au makazi! (Picha zote vyanzo mbalimbali)
Natumai Muse A muse, Aswad Band, MaxShimba, Yeshua Hamelech wataipenda hii pia na kufuata mfano huu.
Inapendeza!
...credible pictures! Good lesson to the Tanzanian politicians.....!