Wakristo na Waislamu ktk mwaka 2010 na 2011

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
9
Mungu kawachagua WAISLAMU wawakilishe wote duniani katika ibada ya kuuaga mwaka 2010 akaifanya siku ya mwisho wa mwaka IJUMAA.

Amewapa WAKRISTO uwakilishi wa wote katika ibada ya kukaribisha 2011, akaifanya JUMAPILI siku ya kwanza ya ibada kwa 2011

. . Lakini ni wangapi wako busy na maandalizi ya MAOVU usiku wa leo kiasi hawajaenda MISIKITINI? Wangapi wataamka nayo HAYO MAOVU jumapili kiasi cha kushindwa kwenda KANISANI??
 
hongera mkuu umelipatia sana hili jambo la 2010/2011 kiimani.
watu tuko busy kufanya macahfu kifo tumekizoea kusikia kushuhudia wenzetu wakiondoka lakini itakapofika zamu yetu ndio tutakumbuka umuhimu wa kufanya ibada, mungu twakuomba utu nguvu na afya tupate kukuabudu katika siku za maisha yetu. kwa pamoja Tusemeee ameeen.
 
Mungu kawachagua WAISLAMU wawakilishe wote duniani katika ibada ya kuuaga mwaka 2010 akaifanya siku ya mwisho wa mwaka IJUMAA.

Amewapa WAKRISTO uwakilishi wa wote katika ibada ya kukaribisha 2011, akaifanya JUMAPILI siku ya kwanza ya ibada kwa 2011

. . Lakini ni wangapi wako busy na maandalizi ya MAOVU usiku wa leo kiasi hawajaenda MISIKITINI? Wangapi wataamka nayo HAYO MAOVU jumapili kiasi cha kushindwa kwenda KANISANI??

Very contractive thought.... now days kuna uhaba sana wa ideas kama hizi hapa jf!
 
Kazi ya Waislam itakuwa ni kumuomba ALLAH awasamehe Wanadamu dhambi zote walizofanya 2010

Wakristo watatuombea Wanadamu kwa Mwenye Enzi Almight God amani, upendo na mshikamano 2011
 
Hapy nyu year kwa wana jf wote bila kuangalia imani maana kuna wapagani hawajatajwa, wabudha etc, freemasons
 
Mungu kawachagua WAISLAMU wawakilishe wote duniani katika ibada ya kuuaga mwaka 2010 akaifanya siku ya mwisho wa mwaka IJUMAA.

Amewapa WAKRISTO uwakilishi wa wote katika ibada ya kukaribisha 2011, akaifanya JUMAPILI siku ya kwanza ya ibada kwa 2011

. . Lakini ni wangapi wako busy na maandalizi ya MAOVU usiku wa leo kiasi hawajaenda MISIKITINI? Wangapi wataamka nayo HAYO MAOVU jumapili kiasi cha kushindwa kwenda KANISANI??

Post of the two year 2010-11
 
Such a wise MAN with a very constructive idea. Mungu atusamehe kwa kweli watu walikuwa barabarani wanapiga baruti wengine ndo hivyo tena, wanasahau muumba ndiye alietufikisha hapa tulipo
 
Back
Top Bottom