Wakristo kuruhusiwa ndoa zaidi ya moja

Ndoa ya Mitala katika HistoriaUislam haukubuni huo mfumo au mtindo wa ndoa ya mitala.Ulikuwepo siku nyingi sana kabla ya Uislam kuingia katikamandhari ya matukio ya dunia. Bilblia inasema kwamba Lameki;mjukuu wa Nabii Adam “alijitwalia wake wawili: jina la mmoja wakwanza lilikuwa ni Adah, na jina la huyo mwingine ni Zillah.”3Hivyo1Hili neno mitala linapendelewa kwa sababu hawara ina maana ya wenzawengi (mume mmoja na wake wengi au mke mmoja na wanaume wengi)ambapo neno mitala lina maana ya inaashiria kwenye ndoa ya mumemmoja wake wengi

doa ya Mitala na Ndoa za Mtukufu Mtumemitala imekuwepo tangu siku za mwanzo kabisa za historia yamwanadamu.Watu watakatifu wengi wa ndani ya Biblia walikuwa nawake wengi au vimada kwa wakati huo huo. Abraham alikuwa naSarah na Hajar. Abraham mwanzoni alijaaliwa na kupata mtotowa kiume kupitia kwa Hajar, ambaye huyu alimwita Ishmael, nahalafu akajaaliwa kupata mtoto wa kiume mwingine kupitia kwaSarah, ambaye huyu alimwita Isaaka.Hebu angalia mfano wa Yakobo(Yaquub); yeye alikuwana wake wanne na vimada: Leah na Rachel (wote walikuwa binamuzake Yakobo), na yeye pia alikuwa na Bilhah na Zilpah (wotewalikuwa ni wajakazi waliotolewa zawadi kwa Yakobokutokakwa wake zake). Ni kutoka kwa mabibi hawa ambapo Yakoboalipata watoto wa kiume kumi na mbili ambao walikuja kuwawahenga wa yale makabila kumi na mbili ya Israeli.David, anayejulikana kwa kuarabu kama Nabii Dawud,alikuwa na takriban wake wanane ambao majina yao yanajulikana,alikuwa na wengine wengi ambao majina yao hakuwahi kujulikanana kuwekwa kwenye kumbukumbu. Kile kitabu cha Pili chaSamuel (katika Biblia) kinazungumzia kuhusu “wale wake zake”Dawud huko Hebron na vile vile huko Jerusalem.4Lamech, mjukuu wa Adam, alikuwa na wake wawili.Abraham alikuwa na wake wawili: Sarah na HajarYakub alikuwa na wake wawili na vimada wawili:Yale makabila kumi na mbili ya Waisrail yanatokana namabibi hawa wane.Dawud alikuwa na wake wengi42Samuel 3:2-5, 13-16; 5:13-16

1. Baadhi ya makabila tangu zamani yamekuwa yakitoa sadaka za binadamu (human sacrifice). Ukisoma historia au social & cultural anthroplogy utakutana na practices hizo.

2. Kwenye baadhi ya makabila kama wangoni na wasukuma, mtemi akifa vijana kadhaa walikuwa wakikusanywa na kuzikwa naye (kumsindikiza mtemi). Hii pia iko kwenye historia! Hata Tanzania, mambo haya yalikomeshwa miaka ya 1960, Nyerere alipoondoa utawla wa watemi. Watemi wengine walikuwa wakiwaingilia vijana kinyume na maumbile kama alama ya 'kuwarutubisha' - 'bestowing on them fertility blessings'.

3. Baadhi ya makabila hapa Tanzania yanakeketa wanawake tangu zamani hizo! Kama mnaoa wake hadi wanne kwa vile ni kitu cha kihistoria (yaani, kilikuwapo tangu zamani), je kwa hayo niliyoeleza siyo historia?

4. Kuoa wake 1-4 kwenye Qur'an imeelezwa tofauti na jinsi mnavyo'practice'. Kwanza, inazungumzia 'ophans' ili wapate hifadhi na matunzo. Nyie mnao vimwana!

Pili, Qur'an inasema anayeoa wake hadi wanne lazima ahakikishe anatenda haki ileile kwa wote, kama hilo haliwezekani ni heri mtu akaoa mke mmoja kwani kufanya hivyo kutakuwa kutenda haki zaidi kuliko kuoa wake zaidi ya mmoja.

5. Mnayofuata siyo yale yaliyoandikwa kwenye Qur'an bali ni tamaa zenu tu. Mbona wengine kati yenu wanaelewa vizuri kuhusu hili na wanasema wazi kuwa wanaooa wake zaidi ya mmoja wanafanya hivyo kwa mapenzi yao na siyo kwa vile imesemwa kwenye Qur'an kwa vile haiwezekani kutenda haki sawa kwa wote au kuwapenda wote kwa upendo uleule?

Wanasema kilichosemwa kwenye Qur'an siyo rahisi kukitekeleza na ndiyo maana Qur'an inasema 'heri kuoa mke mmoja kwa vile kufanya hivyo ni kutenda haki zaidi?' Unasemaje?
 
Back
Top Bottom