Wakongwe wa jf je inawezekana????

andry surlbaran

Senior Member
Apr 13, 2011
166
20
jamani nataka kubadili user name yangu nimejaribu nimeshindwa na nimejaribu kuweka picha /avatar nimechemka, msaada tutani!
 
mtumie message administrator na umpatie jina unalotaka kutumia sasa. Suala la Avatar subiri upate uzoefu kwanza!
 
Nemesis


JF Senior Expert Member Re: Wakongwe wa jf je inawezekana????
(''mtumie message administrator na umpatie jina unalotaka kutumia sasa. Suala la Avatar subiri upate uzoefu kwanza!'' )

Kaka Nemesis wewe ni senior member tena expert! Sasa ukimjibu jamaa kwa namna hiyo huoni unamfanya ajisikie kama vile kuna kunyimana utamu fulani hivi! Hiyo ni kauzibe - msaidie na yeye afaidi mambo ya JF. Dont be a miser maana ukimpa hiyo idea wewe hupungukiwi lolote!:dance:



 
jamani nataka kubadili user name yangu nimejaribu nimeshindwa na nimejaribu kuweka picha /avatar nimechemka, msaada tutani!

Kwanini unataka ku change user name au kwa sababu jina lako linaonekana la kihindi na humu wahindi wanapingwa kwa ukabaila wao..kaa hivyo hivyo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom