Wako wapi watu hawa?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
MABERE MARANDO na WILFRED LWAKATARE wa CHADEMA wako wapi? mbona wamekuwa kimya sana au ndo miongoni mwa wana-CDM waliopelekwa ujerumani na uingereza kupata mafunzo ya kiintelijensia?
 
Wako wapi Juma Athumani Kapuya na Pawa Simindu Pawa waliokuwa vigungu wa CCM? enzi hizo?
 
MABERE MARANDO na WILFRED LWAKATARE wa CHADEMA wako wapi? mbona wamekuwa kimya sana au ndo miongoni mwa wana-CDM waliopelekwa ujerumani na uingereza kupata mafunzo ya kiintelijensia?
Ni kweli walikuwa Islaeli kiintelijensia zaidi wamerudi na ili waivuruge zaidi CCM wanatakiwa watende kazi kimya kimya. Itakoma mwaka huu
 
Back
Top Bottom