Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi
madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali
kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
Nawashukuruni, wiki hii nitakutanishwa na mnunuzi.
Mwana JF leo ni karibu mwaka mbona huleti feedback hata kama ni skeleton tu!? Funguka bana kama jina lako lilivyo GAZETI.Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi
madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali
kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
Mkuu niliuza, nilipata mil12.
Mimi niliyapata Msumbiji, tena ni hukuhuku mpakani na TZ si mbali sanaKwan yanapatikana wap mkuu,? ulichimba mwenyewe au ylinunua? maisha magumu bana na hiz biadhara zetu za matunda noma bana yanaoza tu! Co vibaya kama una habar njema ukanipa PM mkuu!
Mkuu niliuza, nilipata mil12.
We ni broker ama kama we ni mwenye mali niambie wapi upo nikupeleke Nairobi najua wapi pa kuuzia.Ila 10% itanihusu.
kaka naona we ulipata msaada nami naitaji msaada wa wanunuzi wa madini aina ya kasheshe
maana ninayo lakini sijajua soko liko wapi plz......plz.......
nisaidie
mkuu haya kasheshe ndo aina gani tena aisee??
mkuu haya ni madini fulani hivi yapo meusi mno
Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi
madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali
kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
Kuna mtu anaitwa Msuya yupo Knyama opp na soko, ni bonge ya expoter!!!!!!!!!! Afu anaaminika mpare yule!