Wako wapi wanaJF Hawa? Nimewamiss ile mbaya

Nyamayao
Mbogela
Remmy
Mama Mdogo
Firstcollina
Sipo
Quest
Preciousdoe
*Long time not seen.miss you guys>
 
figa niga atakuwa kaunizwa na madem wa suger ray or alikuwa anakula chabo sehemu akatobolewa macho!!

flora, flora? mbona unamuombea mwenzio mabaya? sio vizuri kumsema vibaya mzee wa mia. wenzako tumemmiss.
 
jamani atakayemwona Lizzy amwambie bishanga anamsalimia,mwambie bado nauguza majeraha ya mkong'oto wa siku ileeeeeeeeee.
 
Kuna wanaJF nilishawazoea na kuwapenda kwa michango na hamasa zao hapa JF lakini muda mrefu sijawaona. Ni hawa wafuatao: Execellent, FaizaFoxy,Sikapal na NyaniNgabu.Wako wapi? Au wamekula ban? Mungu apishe mbali!
Thanks much kutukumbuka,mi shughuli zilinibana ila narudi upya,tutakuwa pamoja
 
mimi nimemmiss mpenzi wangu wa jf. my sweetheart, honey, kiburudisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom