Wako wapi Wanafunzi Hawa tuliowatetea sana

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,422
85,852
Tangu juzi kumekuwa na taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari kuwa kuna vitoto a.k.a Videnti toka Arusha vinakula gudtyme mjini bongo.....na JF member wakaanzisha topic, well, nilichangia kwa mtazamo tofauti mabapowengi waliniona kama kituko fulani hivi.....nikaaama jana kufuatilia ninakokujua mimi, habari za uhakika ni kwamba vilishatoroka na havipo tena...Sasa kama kweli hawa ni Wanafunzi na walikuwa wanahitaji msaada kilichowatorosha leo ni kipi? Je tutaamini vipi kweli kama ni wanafunzi na sio machangudoa wabichi wabichi? Michango yangu niliiweka kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusia...funzi-wawili-wa-kike-watelekezwa-guest-3.html

Mimi ni Mwalimu kitaaluma tena mwenye degree ya miaka minne sio mitatu, mwenye uzoefu mzuri tu ikiwa ni pamoja na Counselling and Guidence skillls, nimekuwa nikifundisha shule tofauti za mijini na vijijini kabla ya kuiacha kama miezi mitatu hivi iliyopita...... I know hawa watoto wetu, si watoto tena jamani.....Wazazi kwa asilimi 10000% tumekuwa chanzo cha kupotoka kwa maadili ya watoto hawa; leo asubuhi maeneo ya pale External nikaowana watoto wa kike wakiwa wanasubiri usafiri kwenda shule, nikaangalia style ya nywele zao za kiuanafunzi, nikaangalia uvaji wa hayo mashati ya shule kisha nikamalizia na sketi style iliyovaliwa na kushonwa, nikasikitika sana sana, yaani akiwa nyumbani hana tofauti labda na changudoa yoyote yule mwingine; lipshine, vifungo vya shati wazi, sketi usiseme...,kweli tunawapenda???

Well, I experienced a lot na hawa watoto, nitawaambia mifano mingi zaidi....lakini kabla ya hapo swali la msingi m=ni kwamba; Ni wapi wamekwenda mabinti hawa wa rusha "waliokosa nauli" ya kurudia kwao???
 
Mh au yule jamaa kawatorosha? Atafutwe huyo jamaa anajua wako wapi.

Nenda kamsubiri Corner Bar. Mna hangaika kumtafuta mtu aliye import wakati watu wa jinsi hiyo wamejaa kila mahala..!! Au kwasababu issue yake ipo katika vyombo vya habari? Huu ni unafiki tu..!!!
 
Unafiki ulipitiliza....eti wanawaita ni watoto....upuuzi mtupu watu wazima wale na hisia zaokibao
Nenda kamsubiri Corner Bar. Mna hangaika kumtafuta mtu aliye import wakati watu wa jinsi hiyo wamejaa kila mahala..!! Au kwasababu issue yake ipo katika vyombo vya habari? Huu ni unafiki tu..!!!
 
Mkuu Elli nilishawah kuzungumzia mavaz na muonekano wa wanafunz wa sasa nikashambuliwa. Wanatia kinyaa kabisa wazaz wako wapi??? Kweli wazaz wana mchango katika kumomonyoka kwa maadili!
 
Kuna wadau walisikia kilio chao wanavimega muda huu ili baadae wawape pesa . Kumbuka there is no free Lunch .
 
Noo, ni zaid ya kinyaaa, si wanafunzi tena hawa, sijui tuwaiteje
Mkuu Elli nilishawah kuzungumzia mavaz na muonekano wa wanafunz wa sasa nikashambuliwa. Wanatia kinyaa kabisa wazaz wako wapi??? Kweli wazaz wana mchango katika kumomonyoka kwa maadili!
 
Duh, umevikumbuka vya pale Euckenforde Secondary?? I think watoto wengi saaa hivi ni just Walking Corpses
Kuna wadau walisikia kilio chao wanavimega muda huu ili baadae wawape pesa . Kumbuka there is no free Lunch .
 
Tangu juzi kumekuwa na taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari kuwa kuna vitoto a.k.a Videnti toka Arusha vinakula gudtyme mjini bongo.....na JF member wakaanzisha topic, well, nilichangia kwa mtazamo tofauti mabapowengi waliniona kama kituko fulani hivi.....nikaaama jana kufuatilia ninakokujua mimi, habari za uhakika ni kwamba vilishatoroka na havipo tena...Sasa kama kweli hawa ni Wanafunzi na walikuwa wanahitaji msaada kilichowatorosha leo ni kipi? Je tutaamini vipi kweli kama ni wanafunzi na sio machangudoa wabichi wabichi? Michango yangu niliiweka kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusia...funzi-wawili-wa-kike-watelekezwa-guest-3.html

Mimi ni Mwalimu kitaaluma tena mwenye degree ya miaka minne sio mitatu, mwenye uzoefu mzuri tu ikiwa ni pamoja na Counselling and Guidence skillls, nimekuwa nikifundisha shule tofauti za mijini na vijijini kabla ya kuiacha kama miezi mitatu hivi iliyopita...... I know hawa watoto wetu, si watoto tena jamani.....Wazazi kwa asilimi 10000% tumekuwa chanzo cha kupotoka kwa maadili ya watoto hawa; leo asubuhi maeneo ya pale External nikaowana watoto wa kike wakiwa wanasubiri usafiri kwenda shule, nikaangalia style ya nywele zao za kiuanafunzi, nikaangalia uvaji wa hayo mashati ya shule kisha nikamalizia na sketi style iliyovaliwa na kushonwa, nikasikitika sana sana, yaani akiwa nyumbani hana tofauti labda na changudoa yoyote yule mwingine; lipshine, vifungo vya shati wazi, sketi usiseme...,kweli tunawapenda???

Well, I experienced a lot na hawa watoto, nitawaambia mifano mingi zaidi....lakini kabla ya hapo swali la msingi m=ni kwamba; Ni wapi wamekwenda mabinti hawa wa rusha "waliokosa nauli" ya kurudia kwao???
umeongea vema sana mwana jf lakini kwenye nyeusi na nilipopigia mstari hizo ni sifa za kitoto!!!!
 
Hapana ni katika msisitizo tu Mpwa, maana kuna wengine wangeeanza kuuliza, ni degree ya miaka mingapi na ya wapi? Ok, thnks ila nadhani sio kama za wabunge...nimekungongea thanks pia

Back
Top Bottom