Wako wapi kina Mzee Mengi,Bahresa,Rostam.......

kenya-uhuru kenyatta kachukua #26 na chris kirubi #31
 
Mzee Mengi angekuwa kwenye hiyo list kama siyo huruma yake kwetu kwa sisi tusionacho.Hiyo list inakasoro bila Rostam kuwa kati ya top three ya mabilionea wa Africa
 
kwani hao unafikiri hawana charity foundations?
 
Mzee Mengi angekuwa kwenye hiyo list kama siyo huruma yake kwetu kwa sisi tusionacho.Hiyo list inakasoro bila Rostam kuwa kati ya top three ya mabilionea wa Africa

Mkuu tatizo la Rostam ni kuwa mali zake nyingi ni za wizi na ameandika majina wa watu wengine kwenye biashara/miradi yake kwahiyo utajiri wake halisi haujulikani.
 
hao aliowaandika nashauri wamchakachue....lol
 
tatizo letu bongo hatupo wazi na mambo yetu ya kibiashara , weee METL wana turn over ya zaidi ya 500m usd kwa mwaka , huyo bakhresa ndo balaa tupu , rostam na ma share yake wanatisha , lakini usisahau kwamba hizo ni estimate tu kwamba hawa watu wana worth kiasi fulani hata huyo dangote wameweza ku estimate hivyo kwa kuwa biashara zake zina trade kwenye stock exchange , wafanyabiashara wetu wa kibongo hawawezi fanya haya mambo .. eti bakhresa akauze share zake au METL , ndo maana hatujui hasa hawa owners wana utajiri gani , ila si kweli kwamba nichoka mbaya aiseee watu wana hela ndefu bongo sema kujificha kwingi
 
labda ndio masharti wanayopewa na waganga wao.:lol:
 
Back
Top Bottom