Wako wapi hawa WEZI wa kizungu?

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,045
359
Wale wizi wazungu kutoka BULGARIA waliokuwa wakiiba kwenye ATM wako wapi sasa,
maana sijasikia habari zao muda mrefu sasa mwenye taarifa zao anihabarishe.
 
Hii nayo ni post ya jukwaa la siasa eti??
MOD, delete this nonsense immediately please. Ulevi wa asubuhi asubuhi bila kunywa supu kwanza mbaya sana.
 
Back
Top Bottom