wale wote waliokuwa na mlengwa wa ujamaa na maadili ya uongozi yaliyotukuka kimewapata walichostahili. Arcado yupo CDMNi muda mrefu sana umepita sijawasikia hawa makomredi waliovuma enzi zao km vile, steven Mashishanga, Edgar Maokola Majogo, Arcado Ntagazwa,Wilson Masilingi, Prof.Sarungi, daniel ole njolaay
wale wote waliokuwa na mlengwa wa ujamaa na maadili ya uongozi yaliyotukuka kimewapata walichostahili. Arcado yupo CDM
Masilingi kwa sasa ni balozi wa Tz nchini MarekaniNi muda mrefu sana umepita sijawasikia hawa makomredi waliovuma enzi zao km vile, steven Mashishanga, Edgar Maokola Majogo, Arcado Ntagazwa,Wilson Masilingi, Prof.Sarungi, daniel ole njolaay