Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi: Balozi Dola Soul...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mhalisi, Sep 12, 2011.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watanzania bila shaka mliokuwa mnasikiliza muziki wa kizazi kipya tangu miaka ya nyuma mtakuwa mnamkumbika mwana hip hop balozi dola soul ambaye ni swahiba mkubwa wa jembe letu la mbeya mjini, mheshimiwa sugu, naulizia yuko wapi siku hizi balozi dola soul?
   
 2. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 707
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  dola soul ngoma ngumu,dah kitambo
   
 3. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  <br />
  <br />
  kipindi hiko yuko na saigon kundi likiitwa diplomats ngoma kama take ride with me ilitingisha mbaya au bado nipo kwenye chati.dola soul kuna kipindi alikuwa usa
   
 4. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  muulize sugu
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,760
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Dogo yupo Marekani siku hizi
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 10,881
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 113
  Yupo Marekani.
   
 7. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 83
  yupo USA anafanya nn? Bado anajihusisha na mziki au? Na yule msanii ambaye alikuja kuwa mtangazaji SOS B mzee wa kukuru kakara zako naye yu wapi
   

Share This Page