wakizu

Ni wazuri lakini wana hasira ile mbaya, hawanaga dogo. Wananuna ht kwa jambo dogo, sikushauri kuoa huko.
 
Ni Waikizu. kabila kutoka mkoa wa Mara, asili yao ni kutoka eneo linaitwa Nyamuswa, Wilaya ya Bunda. Ndipo alipozaliwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Sinde Warioba.
Ni wajuaji sana, waongeaji sana, majungu n.k. Ila Wanawake waikizu kunako 6x6 ni hatarii, wanajituma.
 
Back
Top Bottom