Wakiwa Katika Ujenzi wa Taifa

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
Untitled.jpg

Viongozi wakiwa katika ujenzi wa taifa nguvu mpya kasi mpya.
 
Mhh huyo JK wa chalinze nguo gani hizo za ujenzi??? kweli mvivu, kwanza alikuwa kenya hapo kwenye kampuni ya maziwa ya brookside. cheki huyu JK origino anavyopiga mziko musoma
 
Mateka, Jamani ni Musoma sio Msoma. Kweli wanatenda kazi!
 
Last edited by a moderator:
Mtu wa Pwani kuanzia lini akalingana na mtu wa Mara? Mmoja ni baba wa taifa na mwingine tozi wa kitaa
 
ukiona hivi, ujue sio bure bali Kenya wana kamchongo tayari na Tz, labda ni lile bomba lao la mafuta kuja A-town!
 
Wakiona unawa'fatafata' sana watakwambia "kila zama na kitabu chake"!:censored:
 
kwanza huwezi kufanya kazi na nguo za sikuu,pili huyo mmoja hataki kuchafuka wakati mwenzake amebeba na mikono yake,isitoshe wamembebea baadhi ya vifaa.hao watu hao ni sawa na mbingu na ardhi kiumbali,mwisho mmoja anajenga home mwingine yupo kwenye utalii wa kawaida.
 
Mh...brookside kabisa!??
Kidogo nianze kumtetea JK wa Chalinze kuwa enzi hizi za maendeleo lazima ufanye kazi kwa kujilinda ila iyo chata imenishtua...na brookside nao washakuja kuinvest huku??! Tanga fresh itakufa sasa hivi maana nna uhakika mshkaji apo anapata share za kutosha...
 
Back
Top Bottom