Jeremiah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 644
- 129
Nyiye mnaowashambulia mna matatizo. Kafulila katika mjadala mmoja Star TV aliwaponda Chadema kwakuwaita wajanja wa wa kisiasa , Eti kwasababu waitoka nje hotuba ya Kikwete. sasa mtu msiyekutanisha mawazo wawezaje kuungana naye? Cuf +ccm wanaongoza dora pamoja zanzibar. Je niwapinzani wa kweli hawa? Kwa haraka kabsa hamuoni kuwa ni mbinu chafu zilizozoeleka za ccm ili kuwamaliza chadema? tafadhali nawaomba Chadema washikilie msimamo wao kwa kuwa hakuna awapendaye ila yule tu aliyemwanachama wao. Kama wapinzani wengine wanaona wanataka nguvu wachukue kadi za chadema.