Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Wabunge wa Chadema wametoka nje kupinga kubadilisha kwa kipengele cha na ushirikiano wa wabunge wote wa upinzani.
 
Jioni ya leo ktk kikao cha kwanza cha bunge, wabunge wote akiwamo zito wametoka ukumbini kupiga hoja ya mabadiliko ya kanuni za bunge kuhusu muundo wa kambi ya upinzani, haya siku ya kwanza moto ushaanza kuwaka
 
Naangalia kipindi cha Bumge wabunge wote wa chadema wametoka nje Baada ya Mh Mbowe kuchangia hoja.. Hoja ni ile ya kubadirisha tafasri za kambi ya upinzan
 
SAFI SANA MBOWE NI KIDUME NA SHUJAA KATOA HOTUBA NZURI SANA

sasa CUF ,NCCR,TLP NA UDP waunde kambi yao,waongoze upinzani
 
Jioni ya leo ktk kikao cha kwanza cha bunge, wabunge wote akiwamo zito wametoka ukumbini kupiga hoja ya mabadiliko ya kanuni za bunge kuhusu muundo wa kambi ya upinzani, haya siku yaj kwanza moto ushaanza kuwaka
Si mchezo, vita vimeanza.. Just a day one
 
Dah! hawajamaa wanakazi kweli mwakaa huu, hata ikifuka 2015 sijui!!, kwa mwendo huu wa kukokotwa na matamanio ya mtu mmoja, ngoja tusubiri na tuone.
 
Hii naona haitoshi kabisa, kwanini hawaigi mabunge ya wenzetu kama India kwa kumchapa makofi huyo spika na hao vibaraka wengine huko bungeni? Nadhani hili linaruhusiwa Bungeni sema hawajaamua kufuata mtindo huu. Jamani huu ni mtazamo wangu tu, maana wanatia hasira sana hawa watu
 
Huo ndiyo umakini na misimamo ya upinzani..

Mbowe amesema kuwa siyo makini kwa wao kulazimishwa na vyama vingine kuungana na kuunda kambi ya upinzani wakati mitazamo yao siyo sawia yaani siyo mamoja....

Naunga mkono hatua waliochukua....
 
sidhani kama hiyo hatua inaleta tija yoyote kwa wananchi wa kawaida

Tumeshajua CCM ni wababe na wameshika mpini, pia tukumbuke kuna akati hata tanu walishiriki uchaguzi wakijua si huru wala haki ili kuwa-surprise wakoloni.... basi tujifunze kutolerate differences

CHADEMA wangebaki, waungane na wapinzani na waanze ku-lobby kufikisha agenda yao na hata ikibidi kufanya vikao vya mara kwa mara... kumbukeni wanasiasa wote ni wanafiki hivyo basi kubadilika isingekua tabu as long as keki imewekwa mezani na kila mtu anajua mwenzake kapata kipande ngapi
 
tutaangalia kesho kama hawatahudhuria, tukiwaona tutajua hii ni janja ya kuuma na kupulizia!
 
aisee hata mimi Tanesco wamechukua chao baada ya CDM kutoka ,nini kinaendele huko?
 
Safi sana,hivi watanzania mnajua hii nchi inahitaji machafuko ili tuwatoe hawa CCM.I'm sorry to say this but seriously speaking kuna viongozi wa chama tawala wanaohitaji kufyekwa watoweke duniani.Tumechoshwa na upuuzi wao
 
Safi sana, hawawezi kutuona wote sisi ni wapuuzi kwa kutaka kuchakachua kambi ya upinzani bungeni ili yote iwe CCM
 
Back
Top Bottom