Wakinge uwapendao na fataki!

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari,

Jamani huu msemo unaotumika sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuwalinda watoto hivi upo sahihi?
 
Ina utata kwa vile inataka wewe ushirikiane na fataki kuwakinga uwapendao kumbe dhana halisi ni kumzuia fataki. Pia udondoshaji usio lazima umefanyika ktk neno "wakinge" badala ya "uwakinge". Nawasilisha.
 
Kweli nine "DHIDI" ndio lingeweka maana sawa, hapo sentensi ya juu inamaanisha fataki nae tumkinge.
 
Back
Top Bottom