Wakinamama na kunyonyesha

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Suala hili linanishangaza sana na mbaya zaidi tatizo hili linazidi kukua.

Kuna hili tatizo la wakina dada kushindwa kunyonyesha watoto wao kwa sababu yakutokutoa maziwa, wengine unakuta maziwa hayatoki hata tone.Hii inasababisha watoto wao kunyonya maziwa ya kopo. Kwa sasa nimeanza kuhisi kuna tatizo kwani nina wasiwasi kesi hizi zikawa nyingi,nikiamini nilizozisikia ni chache kati ya hizo nyingi.

Najua kuna wanasayansi humu,ebu tupeni sababu zinazoweza kusababisha mama kushindwa kutoa maziwa ya kumnyonyesha mwanae na nini kifanyike hali hii ikitokea.

Wakati mwingine ufikiri labda dada zetu hawataki kunyonyesha watoto, ni fikra tuu.
 
Kwanza lazima tujue kwamba kunyosha ni reflex inayoanzia kwenye ubongo wa mama, inayoanzishwa kwa mara ya kwanza na kitendo cha mtoto kunyonya. Ili maziwa yaweze kutoka vizuri ni lazima yafuatayo yazingatiwe:

1. ni lazima mama awe physchologicaly settled
2. ni lazima mama apate chakula bora na kwa wingi.
3. ni lazima mama apate muda mwingi wa kupumzika ........ nk

Wadada wetu wengi hawapendi kuharibu maumbile yao kwa kula sana, wasije kunenepa sana. Pili ni hali ya maisha na shughuli za kila siku zinamfanya mama akose muda wa kupumzika kwa hiyo utokaji wa mziwa unakuwa mgumu.

Kitu cha muhimu ingawa nimekisema mwisho ni kuzuia maambukizi ya vvu toka kwa mama kwenda kwa mtoto, kutokana na wingi wa maambukizi kwenye jamii kwa mama ambaye ni muathirika huwa anashauriwa ampe mtoto formula tu bila kunyonyesha mtoto hata kidogo; na imeonesha kupunguza maambukizi kwa kiasi kikubwa... kwa hiyo ndugu yangu pengine uliowaona wanawajali watoto wao!!
 
Mganga wa Jadi

Mkuu mie nimekuelewa,lakini kilichonifanya nikashtuka ni kitendo cha mzazi kushindwa kutoa maziwa from the very first day after delivery na namba ya wazazi hawa wanaoshindwa kutoa maziwa tangu siku ya mwanzo naona inazidi kuongezeka.

Watu wanapigwa supu ya pweza lakini wapi. Nikahisi lazima patakuwa na tatizo,any way nashukuru kwa kunielemisha.
 
Last edited by a moderator:
baba watatu, again unyonyeshaji kama alivyosema mganga wa jadi, starts from the mothers pychology,kama mama alianza kutia hofu ohh ntaharibu chuchu basi flow ya maziwa haitakuwa nzuri.

Pia baada ya kujifungua normally maziwa hayatoki hapa hapo, ila mama anashauriwa amyonyeshe tu mtoto, the more the baby suchs the more the milk producing hormones are stimulated to produce milk. Amnyonyeshe tu akiwa relaxed na after some hours/days maziwa yatatoka.

Siku hizi kina mama wengi wanasingizia ooh maziwa hayatoki kabisa, mara nyingi hii huwa ni janja yao kusema hayatoki, na usipinyonyesha mara kwa mara ndio hivyo tena, the brain sends signals to the hormones to reduce production and later to stop.
Kina mama tunawaomba sana sana mnapokuwa wajawazito, njiweke katika hali ya kuukubali umama mliopewa na Mungu, rest your minds, eat well and embrace ur little angles around your chests.
 
Last edited by a moderator:
Wakina mama wa mjini na walioenda shule wanaona ni fasheni kuwalisha watoto wao commercial infant feeds, vyakula ambavyo vinamadhara makubwa kwa watoto. Tafiti nyingi zimeonyesha uhusiano wa moja kwa moja wa kufanya vizuri darasani kwa watoto walionyonya maziwa ya mama katika miaka miwili ya mwanzo wa maisha.
 
Wakina mama wa mjini na walioenda shule wanaona ni fasheni kuwalisha watoto wao commercial infant feeds, vyakula ambavyo vinamadhara makubwa kwa watoto. Tafiti nyingi zimeonyesha uhusiano wa moja kwa moja wa kufanya vizuri darasani kwa watoto walionyonya maziwa ya mama katika miaka miwili ya mwanzo wa maisha.

Si kweli, kwa hiyo watoto wote wanaofanya vibaya huko mashuleni hawajanyonya katika miaka miwili ya mwanzo ya maisha?

Una maanisha hawa wakina mama wa mjini na walioenda shule wanaowalisha watoto wao vyakula ulivyotaja watoto wao hawafanyi vizuuri darasani?
 
Si kweli, kwa hiyo watoto wote wanaofanya vibaya huko mashuleni hawajanyonya katika miaka miwili ya mwanzo ya maisha?

Una maanisha hawa wakina mama wa mjini na walioenda shule wanaowalisha watoto wao vyakula ulivyotaja watoto wao hawafanyi vizuuri darasani?

Ukichukulia uwiano, watoto walionyonyeshwa wanafanya vizuri kuliko wasionyonyeshwa, sio wote. Mfano ukichukua population ya watoto 100 walionyonyeshwa na watoto 100 ambao hawajanyonyeshwa, basi walionyonyeshwa na kufanya vizuri watakuwa 90 out of 100 , wakati wale wasionyonyeshwa na wakafanya vizuri watakuwa 70 out of 100. Sasa ukifanya hesabu za uwiano hapo ni 90/70 na utakuja kwenye conclusion kuwa walionyonyeshwa wanafanya vizuri kwa 1.3 times ama 30% more.
Ulaya na marekani sasa wameanza kurudi kwa full force kwenye kunyonyesha baada ya utafiti kuonyesha faida kibao za maziwa ya mama.
 
Unajua hakuna kitu kizuri au ufahari unaoweza kujivunia kama kunyonyesha. Nashauri wanawake wote wanyonyeshe watoto wao ili wapate cha kusimulia uzeeni kwao.

Wanaume muwe serious na wake zenu siyo muambiwe eti hakuna maziwa na wewe unaridhika, shika chuchu kamua na sometimes punguze bif manyumbani mambo yaende.
 
Itawapendeza Wadada na Wamama wasiopenda Maziwa yao kuona Machweo.


Genetically modified cows to produce human breast milk

A team of Chinese scientists are working on engineering cows so they will be able to produce human breast-like milk for sale in China in as little as two years.

A herd of more than 200 cows have been genetically modified so that their milk contains characteristics most similar to human breast milk, according to Li Ning of the China Agricultural University, as reported in the Times of India.

Human milk is obviously critical for newborns, containing vital nutrients essential to immune and central nervous system development. Other mammal milks such as cow, goat, sheep and camel—all consumed by humans for thousands of years—contain nutrients vital to the maturation of their respective offspring, lacking key nutrients for humans. Despite this, the global market for non-human milk continues to grow every year.

The genetically modified milk product would be most similar to human breast milk, which would make it an appealing option to work into rotation for nursing mothers, and for those having trouble nursing. But the researchers say that it’s not just designated for infants; Chinese emperors and empresses were reported to drink human milk over the course of their entire lives, and the market may be ripe for a considerable interest by adults, especially those suffering from lactose intolerance to cow’s milk.

The idea is being met with both praise and criticism. But it’s not the first effort to market human breast milk. An NYU grad student has been making human breast milk cheese, and an ice cream maker in the UK recently sold a human breast milk flavor.

SOURCE: http://www.organicauthority.com/blog/organic/genetically-modified-cows-produce-human-breast-milk/
 
Coconut milk also has same nutritional contents as in human milk. This has been scientifically proved.
 
Hi Hatari sana hivi kwanini tukishapata watoto maziwa yanatoka?
Jibu ni ili tunyonyeshe haya matatizo mengine ya nini..
Kama mtu hutaki kumpa mtoto haki yake si uache kuzaa tu ....
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom